Mimi Nimeshajiandaa kusikia haya. Wewe je?

Karamagi, Ngereja, Chenge, Sospeter Muhongo, Chegeni, mama Tibaijuka, Lizimoko, Kagasheki na wapambe wao wapo wanapima upepo na kina cha maji....soon wanarudi upyaa.

Afrika nimeamini sisi ndio uzao wa Kaini ndugu yake na Abeli wale waliosimuliwa kwenye bible!

Mzee Mbowe Kamanda wa anga aka "baby tangulia KIA" tuokoe makamanda!

Zile NGO zilizokuwa zimagawa vilainishi kwa akina James Delicious zinarudi kwa speed ya 4G... globalization baby!
 
Baba Kinana, Tembo na Faru wa Serengeti wajiandae kuhamia Kenya huku kiama tayari...
 
Karamagi, Ngereja, Chenge, Sospeter Muhongo, Chegeni, mama Tibaijuka, Lizimoko, Kagasheki na wapambe wao wapo wanapima upepo na kina cha maji....soon wanarudi upyaaa...
Umeandika utoto gani hapa we dogo?
 
Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita[emoji848][emoji848][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Ramli chonganishi.
Maendeleo hayana vyama, ukabila, udini wala ukanda.
Kwa jina la jamhuri ya muungano.
 
Wewe ni msukuma uliekosa weledi wa kuongea kabisa. Uliposema kukosa Waziri au naibu Waziri kutoka Mwanza, geita, shinyanyanga au Simiyu. Inaonekana unafikiri nchi hii kipindi cha mheshimiwa ilikuepo ni Mali ya wasukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…