Mimi Nimeshajiandaa kusikia haya. Wewe je?

Mimi Nimeshajiandaa kusikia haya. Wewe je?

Pole sana. Kama upo kwenye ripoti ya CAG jiandae kwenda jela au kuzitapika/kuziharisha hela ulizoiba.

Usimtishe mama na kesho anaenda kwa Museveni kuchukua mbinu za kuwashughulikia watu kama nyie!
Itabaki kuwa ripoti tu na watu wanaendelea kudunda uraiani
 
Kutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.

1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.

2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.

3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL

4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme

5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani

6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
6 imefanya nijue kabila lako.
 
Wewe ni msukuma uliekosa weledi wa kuongea kabisa. Uliposema kukosa Waziri au naibu Waziri kutoka Mwanza, geita, shinyanyanga au Simiyu. Inaonekana unafikiri nchi hii kipindi cha mheshimiwa ilikuepo ni Mali ya wasukuma
Najua unajua namna wasukuma wanavyonyanyaswa mitandaoni na mnashangilia tu
 
Wasukuma propaganda za Nini kipindi hiki tuachieni nchi hii iendeshwe kwa misingi ya katiba na siyo ukanda Kama mnavyotaka iwe. Pointi yako nilijua Ni hiyo ya kuchomeka ya mawaziri na manaibu toka kabila la wasukuma. Acha wasukuma watuchungie ng'ombe na kazi zingine alaaaaah!
 
akili kisoda hawaelewi hata nchi inakwenda wapi.
wao ni ushabiki maandazi mayowe.

upinzani kipaumbele chao ni uhuru wa kuongea.
ccm madili kipaumbele chao ni upigaji.

baada ya miaka 3 makundi hayo yatakaposhtuka kwamba yamewasaliti watz na shujaa wao,tayari nchi itakuwa haiongozeki tena.
 
Genge la magu mna matatizo.
Mkataba wa bagamoyo ushatemwa usitegemee mama kurudi kusign. Angekua anasikiliza habari za mitandaoni huo mkataba hawezi saini, na leo yule kalio anaitwa sabaya angekua ashafukuzwa.

Ndege kuuzwa sio kitu kibaya, nchi haina hela na ndege zinazidi kuitia nchi hasara ya mabilioni kila mwaka, tukae na ndege kwa sifa tu hata kama inatucost mabilioni? Watu mnafikiria kwa kutumia ubongo kweli?

Reli itakamilika, na wataruhusu watu kununua mabehewa na kuinvest, jiwe lingekua halijafa mabehewa yote yangewekwa chini ya kampuni zake zilizofunguliwa kwa majina ya ndugu zake.

Hayo mambo ya waziri kutoka mikoa flani halijawahi kua tatizo Tanzania, ni wewe tu umejaa uovu kichwani kila kitu unaona negative, unasahau magufuli alikua kajaza sukuma gang kwenye kila sector.

Lile zee kufa ni a blessing to Tanzania, take it. Mzee mbaya kuliko Iddi Amini
 
Siyo wote mkuu! Nawahurumia sana Wasukuma wenzangu jinsi wanavyokunyakunya! Mwaka watajamba cheche!

Mkuu usukuma ilikuwa ishakuwa zaidi ya kabila ilikuwa imekuwa imani.

Kina katelefoni, pole pole, bashiri, wa jalalani, yule bwana wa mbeya na wanamna hiyo wote walisha silimu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
akili kisoda hawaelewi hata nchi inakwenda wapi.
wao ni ushabiki maandazi mayowe.

upinzani kipaumbele chao ni uhuru wa kuongea.
ccm madili kipaumbele chao ni upigaji.

baada ya miaka 3 makundi hayo yatakaposhtuka kwamba yamewasaliti watz na shujaa wao,tayari nchi itakuwa haiongozeki tena.
Hili la bandari ya Bagamoyo linafikilisha sana,, yani ni maslahi binafsi ya kundi fulani
 
Najua unajua namna wasukuma wanavyonyanyaswa mitandaoni na mnashangilia tu
Ni kwasababu ya ushamba wenu mkuu sio kungine. Mbona sie wa masasi tulikalia hicho kiti cha magogoni lakini hatukujaza wamakuwa au wamachinga wenzetu. Tatizo nyie washambaaa
 
Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita[emoji848][emoji848][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Kwa vita hivi vinavyopigwa dhidi ya wasukuma sitegemei kuwaona kushika nafasi za juu huko sirikalini
 
Mataga Masali bin Yatima unateseka ukiwa wapi,au juu ya kaburi Chato?
 
Back
Top Bottom