Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Tayari hili janamke nishalitolea taarifa huko ICC.
Nimeambatanisha picha za kawaida pamoja na video za ushahidi wa unyama wake kwa kadri ya kiasi kinachoruhusiwa.
Wewe mdau kama umeumizwa na yaliyotokea, basi fanya hima ili uwe katika upande sahihi wa kihistoria.
Kokote kule unakoweza kuzipeleka taarifa za ukatili wa huyu Samuya, zipeleke.
Tuma kwa Trump. Tuma kwa J D Vance. Tuma kwa Marco Rubio. Tuma kwa Kash Patel. Tuma kwa Keir Starmer. Tuma kwa Ursula von der Leyen.
Popote unapoweza kutuma, wewe tuma tu.
Huyu takataka toka Kizimkazi lazima alipe kwa aliyoyatenda.