Mimi nimezaliwa na mama mzungu na baba mtanzania ila maisha ya Afrika hainipendezi

Mimi nimezaliwa na mama mzungu na baba mtanzania ila maisha ya Afrika hainipendezi

Mkuu umeshachoka kuleta nyuzi zako za ngono ngono au upo mapumzikoni huko kwa mama yako single mother marekani??
VAR


 
Nimejaribu kuish afrika ila mazingira magumu mno.bora hata huku uzunguni maana at least panaeleweka kwangu.kwanza maisha ya bongo yanaboa san madem humu wana maushamba balaa na wanazingua balaa
Mama mzungu, Baba mtanzania!
Sema mama mzungu, Baba mwafrika.
Au mama mtaliani, Baba mtanzania.
Acha ubaguzi au unaona shida kusema Baba mwafrika?
Watanzania hata wazungu wapo.
 
VAR


Nasian Ressy
 
Back
Top Bottom