Nasian Ressy
Member
- Jul 12, 2026
- 81
- 231
Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko.
Ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo sasa hivi
Akina mama wanaweza, hakuna kama mama ila wewe baba sikutambui kama mzazi wangu.
Mimi namtambua tuh mama yangu kipenzi.