Najivunia sana mama yangu ambaye alikuwa Single Mother

Najivunia sana mama yangu ambaye alikuwa Single Mother

Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.

mim namtambua tuh mama yangu kipenz
Mtoto wa mama hata mwandiko unaandika kimama mama,au mama mwenyewe ni wewe umekuja kujifariji humu kutafuta umuhimu ambao hauna?
 
WEWE NI MIMI WA MIAKA MITATU NYUMA, ILA MIMI SIO WEWE WA SASA HIVI. NILIAMUA KUTOKUA WEWE WA SASA HIVI NA KUAMUA SAHIHI BAADA YA KUGUNDUA KILA KITU KINAPANGWA NA KILA KITU KINA KUSUDI KATIKA MAISHA.

SISEMI SANA ILA MUNGU AKUONGOZE
 
Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.

mim namtambua tuh mama yangu kipenz
Hyo baba yenu at least angewatunza
 
Sitetei kutelekeza familia ila
1. Unajua chanzo ya wao kuachana au umekuja tu kuleta uliyoambiwa na mama yako?
2. Wewe ni wa kike au kiume? Kama ni wa kiume na huo mwandiko, tumepoteza nguvu kazi.
3. Suala la single parent (hasa single mother) sio la kujivunia. Linachangia mmomonyoko wa maadili kwenye familia na jamii. Yaani huyo single mother kila mwanaume anajipigia tu na kuondoka zake. Wanafundisha nini watoto wao wa kike na kiume?

Yote kwa yote. Wanaume tuache kuzalisha ovyo ovyo. Ni bora ubaki single na ule tu maisha kuliko kuzalisha ovyo ovyo. Hiyo ni mbaya.
Nakazia
 
Ukikua utaona kama kweli baba yako alikuwa mbaya au alikimbia tabia za ovyo za mama ako au mama yako aliendekeza kudanga na kumuona dingi yako fala, kuna mengi yamejificha ila kiufupi wazazi waliowengi wa kike huwa wanapenda kutuchonganisha na baba zetu.
 
Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.

mim namtambua tuh mama yangu kipenz
Atakayekuoa atapata shida sana. Nyie ndiye huwa mnaona waume zenu kama kifaa cha nyumbani. Sikulaumu kwa sababu najua maisha huenda yamekufanya uwe na negative view kwa wanaume.
 
Siku ukiwa baba ndo utaelewa Wala hamna haja ya kukuelewesha kitu hapa ni muda utakufunza, ishi na ke kwa miaka kadhaa na usiombe ukafilisika au kuyumba ndo utajua
 
Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.

mim namtambua tuh mama yangu kipenz
Waheshimu BABA NA MAMA yako ili siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA MUNGU WAKO nimemaliza.....
 
Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.

mim namtambua tuh mama yangu kipenz
Msamehe baba .
Anabaki kuwa baba yako tu
 
Ukikua utaona kama kweli baba yako alikuwa mbaya au alikimbia tabia za ovyo za mama ako au mama yako aliendekeza kudanga na kumuona dingi yako fala, kuna mengi yamejificha ila kiufupi wazazi waliowengi wa kike huwa wanapenda kutuchonganisha na baba zetu.
Naweza kukubaliana na wewe. Unajua mwaume akikutana na mwanamke mjeuri na akaamua kum- harass wanaume wengi huwa wanashindwa kuvumilia na kuamua kwenda kutafuta usalama sehemu nyingine. Sasa kama watoto bado ni wadogo, wanaweza wasijue chanzo hasa cha baba kukimbia ni nini. Hili nimeliona mara nyingi. Mwanamke ukimwona njiani utadhani ni bonga la mke, lakini wanapokuwa ndani na mumewe hakukaliki, hata chakula anapata kwa shida. Ni kelele muda wote.
 
Bao lako bora baba yako angelipigia nyeto tu
Halafu huyu anaendeleza laana mbaya kweli kweli. Anavyomchukia baba yake basi hata mumewe atamchukulia hivyo hivyo na matokeo yake ni kuwa ndoa yake haitakuwa na amani.
 
Hayo ma bifu ya mama yako na huyo baba yako Wala usiingilie,Hawa wa mama nao Wana matatizo sana ni vile TU wanaume hawasemi.
Sahihi kabisa kama mleta mada ni me, yawezekana akataka ku reconcile na baba wakati wa jioni sana, au ikiwa ni usiku kabisa. Kama ni ke basi Mola ampe mwenza sahihi.
 
Back
Top Bottom