Mimi nina nini jamani, hakuna hata mdada alienijibu PM!!

Kwa aina hii ya uandishi wa 'Kifesibuku' sidhani kama kuna mwanamke wa JF anayejitambua atakayekujibu...
Mi nadhanu wewe endelea kuota tu ukiamka ndio utajua kumbe ilikuwa ndoto...
 
MKUU UNAHANGAIKA NA MAKINIKIA WAKATI GOLDBARS ZIMEJAA KWA STREET NYINGINE MPAKA ZINAJIUZA!
 
Hahaha!pole sana,tafuta mfupa wa bundi mzee ,usage mpaka upatikane unga,halafu chukua mafuta ya mgando kisha changanya.Jipake mchanganyiko huo kila saa sita na robo usiku kwa siku 2,mademu wataanza kumiminika kama viwavi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wengi wa Jf hamna Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Badlisha jna, weka kaswagg kdogo, jiite hata kajina kakizungu, sio MAHARAGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…