Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa aina hii ya uandishi wa 'Kifesibuku' sidhani kama kuna mwanamke wa JF anayejitambua atakayekujibu...Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
Unajiamulia tu kunichokozaMtongoze sakayo
Hizi enzi za Yohana utasubiri sanaWanaume wengi wa Jf hamna Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
Hizi enzi za Yohana utasubiri sana
Fresh tuu,.pole mkuuNmbie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha!pole sana,tafuta mfupa wa bundi mzee ,usage mpaka upatikane unga,halafu chukua mafuta ya mgando kisha changanya.Jipake mchanganyiko huo kila saa sita na robo usiku kwa siku 2,mademu wataanza kumiminika kama viwavi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wengi wa Jf hamna Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
Nadhani atakuwa hayupo agekuwepo PM kungekuwa na jamMkuu embu muulize kuhusu Ile ripoti ya dhahabu kama naye alitajwa?
AtakubaliUnajiamulia tu kunichokoza
Haaaah ngj nianzeHujawai ni PM... ningekujibu!
Niandkaje mkuuBadlisha jna, weka kaswagg kdogo, jiite hata kajina kakizungu, sio MAHARAGE
Poa mkuuMaharage upo