Mimi nina nini jamani, hakuna hata mdada alienijibu PM!!

Ukiona hivyo ujue wa huku sio wa saizi yako. Wa size yako ni wa kule FB! 🙄🙄🙄
 
huwa unawaandikia mambo gani?
yaweke hapa ushauriwe vizuri
 
tumia njia ya muamala.
 
Wanaume wengi wa Jf hamna Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
Kwaio ulitaka utumiwe sms na vocha.![emoji34]
 
hahahaha maharage bhana [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…