Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Halaf hata six pack hawana (utani)Wanaume wengi wa Jf hamna Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halaf hata six pack hawana (utani)Wanaume wengi wa Jf hamna Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
Umuhimu wa 6 pack ni nini kwenye mahusiano dinaHalaf hata six pack hawana (utani)
Umekuwa mkorofi mnoWanaume wengi wa Jf hamna Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
Nasikiaga tu wanasema eti zinavutiaUmuhimu wa 6 pack ni nini kwenye mahusiano dina
Haaa labda ni kweli but vp mwanaume ana hiyo six pack alafu mfukoni hana kituNasikiaga tu wanasema eti zinavutia
huwa unawaandikia mambo gani?Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
Halaf hata six pack hawana (utani)
Ila wakikuzingua wazingue tuJamani kakaa basi sifanyi ukorofi tena
tumia njia ya muamala.Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
Kwaio ulitaka utumiwe sms na vocha.![emoji34]Wanaume wengi wa Jf hamna Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
Ushasema errors ts not a problem..! errors znatokea hata uwe na PHD 1000Halafu anasahau mapenzi hayana elimu...
Kwaio ulitaka utumiwe sms na vocha.![emoji34]
Hhaha af unalalamika huolewiii..!Haswaaaa! sasa nakujibu kwa gharama za nani?
Hhaha af unalalamika huolewiii..!
Mnh[emoji19]Una wazimu?
Mimi nimemlalamikia nani siolewi?