Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hiyo “watanichukuliaje” imeua ndoto za wengiHabari zenu ndugu zangu,
Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia
Naombe ushauri wenu?
Kuna watu wengi wameogopa kuzaliwa kwa kuona aibu dunia itawachukuliaje. Endeleza aibu mkuu,ukiona watu jifunike uso kabisa.Habari zenu ndugu zangu,
Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia
Naombe ushauri wenu?
Au kukata mzizi wa fitina aanze tu umalaya. maana unafanyikia kifichoni.Ni either atafute strategy za kuingia kwenye soko jipya au akubali kutoa hiyo low self esteem ya kuwaza watanichukuliaje aingie kwenye hilo soko lililopo mbele yake......
Kama bado anaogopa basi aendelee kulalamika.
mimi ushauri wangu akasome pale muhimbili kozi ya mochwari aje tupige kazi. tena vile yeye demu wanahitajika kwa wingiHuyu bwana mdogo kasababisha twende directly kuliko kumuhoji , inabidi tumuulize kwanza watamchukuliaje kivipi na wanaouza genge yeye pia anawachukuliaje kwa mtazamo wake hapo tutapata pa kuanzia
Umemuona wapi kwa macho akiuza hizo chapati?Aibu yako umasikini wako,bakhresa anauza nazi,chapati,ukwaju we unaona aibu
Moyo unataka mwili hutakiThrow your heart over the hurdle and your body will follow
Kumbe ni demu aisee basi atakua ni wale namba yangu umepata wapi, au huna hadhi ya kuwa na mimi wewe aisee changamoto hiimimi ushauri wangu akasome pale muhimbili kozi ya mochwari aje tupige kazi. tena vile yeye demu wanahitajika kwa wingi
Mapema ndo vzrHapo bado hujafikia umri WA kufanya biashara, subiri subiri ukue
AsanteHiyo “watanichukuliaje” imeua ndoto za wengi
ThnksWapo ambao wana masters ukiona kazi za kujikimu wanazofanya hutaamini!
Adui mkubwa wa mafanikio ya mtu ni Aibu na Uoga!
Kama umeamua kufa na tai shingoni endelea kushupaza shingo.
ThanksMtangulize Mungu katika kila jambo...
Asante sana kwa ushauri nkihama location naona kazi ntafanya vizuriKwanza wanakuongopea kwamba biashara ya genge ina faida sana. Faida ni ya kutosha kulipa kodi na kula.
Watu wa JF wanapenda kusingizia juu ya wao kutojali macho ya watu na wako tayari kwa biashara yoyote. Hua inasuuza moyo kujiwasilisha mbele za watu kama mtu perfect ili kumuona mwingine inferior.
Pathetic.
Unless kama ni kazi mtu uliianza wayback ni ngumu leo kuifanya bila kuhisi utaonwaje. Mimi nilimaliza degree na kuanza kufanya kazi ya kuingiza nyimbo au muvi kwenye CD (kipindi hicho ukimiliki flash we ni wa tofauti) na kufanya computer maintenance.
Na sikuona shida kwakua ni kazi niliifanya kuanzia form one so walioniona ni waliniona nikiifanya tangu form one. Na ilikua nikikaa gengeni kwa mama hainisumbui kwakua nilikaa tangu la tano.
Kama inakusumbua mno hama location.
Mkiombwa ushauri mnampondea mtuUshauri wangu ni kuwa hiyo ni kazi ya aibu sana kufanywa na mrembo kama wewe na watu watakuchukulia kuwa umepata wendawazimu na watakupeleka wodi ya vichaa. Nakushauri uendelee kuogopa binadamu wenzako watakuchukuliaje kwa kila jambo unalotaka kufanya na nakukuhakikishia kuwa utapata mafanikio makubwa.
Huku michorano mingiVipi kama huko mbali asikojulikana soko siyo zuri kama huku anakojulikana?
CC Ms Gazal Janet
Nguvu ya "MOFIMU"Ushauri wangu ni kuwa hiyo ni kazi ya aibu sana kufanywa na mrembo kama wewe na watu watakuchukulia kuwa umepata wendawazimu na watakupeleka wodi ya vichaa. Nakushauri uendelee kuogopa binadamu wenzako watakuchukuliaje kwa kila jambo unalotaka kufanya na nakukuhakikishia kuwa utapata mafanikio makubwa.
AsanteKama kweli hauwezi kabisa kuforce basi nenda eneo la mbali ambalo hawakujui piga kazi.