Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naogopa watanichukuliaje?

Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naogopa watanichukuliaje?

Habari zenu ndugu zangu,

Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia

Naombe ushauri wenu?
Hiyo “watanichukuliaje” imeua ndoto za wengi
 
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia

Naombe ushauri wenu?
Kuna watu wengi wameogopa kuzaliwa kwa kuona aibu dunia itawachukuliaje. Endeleza aibu mkuu,ukiona watu jifunike uso kabisa.
 
Ni either atafute strategy za kuingia kwenye soko jipya au akubali kutoa hiyo low self esteem ya kuwaza watanichukuliaje aingie kwenye hilo soko lililopo mbele yake......

Kama bado anaogopa basi aendelee kulalamika.
Au kukata mzizi wa fitina aanze tu umalaya. maana unafanyikia kifichoni.

CC Ms Gazal Janet
 
Huyu bwana mdogo kasababisha twende directly kuliko kumuhoji , inabidi tumuulize kwanza watamchukuliaje kivipi na wanaouza genge yeye pia anawachukuliaje kwa mtazamo wake hapo tutapata pa kuanzia
mimi ushauri wangu akasome pale muhimbili kozi ya mochwari aje tupige kazi. tena vile yeye demu wanahitajika kwa wingi
 
Wapo ambao wana masters ukiona kazi za kujikimu wanazofanya hutaamini!
Adui mkubwa wa mafanikio ya mtu ni Aibu na Uoga!
Kama umeamua kufa na tai shingoni endelea kushupaza shingo.
Thnks
 
Kwanza wanakuongopea kwamba biashara ya genge ina faida sana. Faida ni ya kutosha kulipa kodi na kula.

Watu wa JF wanapenda kusingizia juu ya wao kutojali macho ya watu na wako tayari kwa biashara yoyote. Hua inasuuza moyo kujiwasilisha mbele za watu kama mtu perfect ili kumuona mwingine inferior.

Pathetic.

Unless kama ni kazi mtu uliianza wayback ni ngumu leo kuifanya bila kuhisi utaonwaje. Mimi nilimaliza degree na kuanza kufanya kazi ya kuingiza nyimbo au muvi kwenye CD (kipindi hicho ukimiliki flash we ni wa tofauti) na kufanya computer maintenance.

Na sikuona shida kwakua ni kazi niliifanya kuanzia form one so walioniona ni waliniona nikiifanya tangu form one. Na ilikua nikikaa gengeni kwa mama hainisumbui kwakua nilikaa tangu la tano.

Kama inakusumbua mno hama location.
Asante sana kwa ushauri nkihama location naona kazi ntafanya vizuri
 
Ushauri wangu ni kuwa hiyo ni kazi ya aibu sana kufanywa na mrembo kama wewe na watu watakuchukulia kuwa umepata wendawazimu na watakupeleka wodi ya vichaa. Nakushauri uendelee kuogopa binadamu wenzako watakuchukuliaje kwa kila jambo unalotaka kufanya na nakukuhakikishia kuwa utapata mafanikio makubwa.
Mkiombwa ushauri mnampondea mtu
 
Ushauri wangu ni kuwa hiyo ni kazi ya aibu sana kufanywa na mrembo kama wewe na watu watakuchukulia kuwa umepata wendawazimu na watakupeleka wodi ya vichaa. Nakushauri uendelee kuogopa binadamu wenzako watakuchukuliaje kwa kila jambo unalotaka kufanya na nakukuhakikishia kuwa utapata mafanikio makubwa.
Nguvu ya "MOFIMU"
 
Back
Top Bottom