Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naogopa watanichukuliaje?

Kama kuna mwanya hebu fanya bila kuogopa watu, vijana kibao wanatafuta walau hizo fursa na hawapati kwa sababu mbalimbali kama mtaji, eneo na vitu vya namna hiyo..
Kama nyenzo unazo na umeona fursa, ikimbilie kabla huyo rafiki yako unaemwambia siri zako hajachukua idea yako na kuifanya yeye, na wewe ukabaki kumlaumu.
 
AhAhahha kwhy unakosa cha kumshauri kijana wako kabisa
Kwenye biashara ukileta aibu utakufa masikini. Halafu hizo mbogamboga ukizijulia jinsi ya kuzipeleka utapata na jina maarufu 'Baba mbogamboga'. Na hapo andaa vijana kama wawili wa kuwa wanapeleka na kutafuta Oda. Atafute hata vimkweche (Baiskeli) vya 50, 50, kwa ajili ya hao vijana. 🙏🏾
 
We ngoja tu siku ukisikia tumbo linafanya kruuuuuuh kwa njaaa mbona kesho yake utaamkia mabibo kukusanya hayo mahoho makabichi na manyanya tena utapost mpaka whatsap status nyanya zako
Na atajipachika jina mwenyewe ,.." GAZAL MAKABEJI",.....njaa ikiuma🥱🙌🙌
 
Huyu bwana mdogo kasababisha twende directly kuliko kumuhoji , inabidi tumuulize kwanza watamchukuliaje kivipi na wanaouza genge yeye pia anawachukuliaje kwa mtazamo wake hapo tutapata pa kuanzia
Na je sisi wauza maji na wazibua vyoo,..huyu dogo anatuchukuliaje🤔🤔
 
Nahisi ameona ushaur wako ataufanyia kazi ipasavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…