Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumesoma kuuza nynya twaona aibuDon't be ashamed with your hustle nobody will feed you when you are hungry
Endeleeni kuona aibuTumesoma kuuza nynya twaona aibu
Uoga wako ndo umasikini wakkHabari zenu ndugu zangu,
Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia
Naombe ushauri wenu?
Page ya 1 & 2 amepewa ushauri mzuri tu,kwahiyo tabia ya "aibu,watu watanionaje" hatoweza kufanya biashara aina hiyo hapo labda akafanyie mbali na hilo eneo.Tumesoma kuuza nynya twaona aibu
Ata akienda mbali na eneo watu watakuja tuPage ya 1 & 2 amepewa ushauri mzuri tu,kwahiyo tabia ya "aibu,watu watanionaje" hatoweza kufanya biashara aina hiyo hapo labda akafanyie mbali na hilo eneo.
Avae miwani ya mbaoAta akienda mbali na eneo watu watakuja tu
Lakini sio wale anaowahofiaAta akienda mbali na eneo watu watakuja tu
Kwanini anaona aibu aliwakosea nini🤔
Hajatuambia kama hizo atakuwa anapika kama supu au inakuwaje?Tumesoma kuuza nynya twaona aibu
Dunia ndogoLakini sio wale anaowahofia
Nahisi alisema yeye anapesa pesa kwake sio tatizoKwanini anaona aibu aliwakosea nini🤔
Hajatuambia kama hizo atakuwa anapika kama supu au inakuwaje?
Au anakuwa anauza kama viungo? 🤔
Kwenye biashara ukileta aibu utakufa masikini. Halafu hizo mbogamboga ukizijulia jinsi ya kuzipeleka utapata na jina maarufu 'Baba mbogamboga'. Na hapo andaa vijana kama wawili wa kuwa wanapeleka na kutafuta Oda. Atafute hata vimkweche (Baiskeli) vya 50, 50, kwa ajili ya hao vijana. 🙏🏾AhAhahha kwhy unakosa cha kumshauri kijana wako kabisa
Na atajipachika jina mwenyewe ,.." GAZAL MAKABEJI",.....njaa ikiuma🥱🙌🙌We ngoja tu siku ukisikia tumbo linafanya kruuuuuuh kwa njaaa mbona kesho yake utaamkia mabibo kukusanya hayo mahoho makabichi na manyanya tena utapost mpaka whatsap status nyanya zako
Na je sisi wauza maji na wazibua vyoo,..huyu dogo anatuchukuliaje🤔🤔Huyu bwana mdogo kasababisha twende directly kuliko kumuhoji , inabidi tumuulize kwanza watamchukuliaje kivipi na wanaouza genge yeye pia anawachukuliaje kwa mtazamo wake hapo tutapata pa kuanzia
Nahisi ameona ushaur wako ataufanyia kazi ipasavyoKwenye biashara ukileta aibu utakufa masikini. Halafu hizo mbogamboga ukizijulia jinsi ya kuzipeleka utapata na jina maarufu 'Baba mbogamboga'. Na hapo andaa vijana kama wawili wa kuwa wanapeleka na kutafuta Oda. Atafute hata vimkweche (Baiskeli) vya 50, 50, kwa ajili ya hao vijana. 🙏🏾
Naam, mimi nitaenda kuchukua mchicha!Nahisi ameona ushaur wako ataufanyia kazi ipasavyo
Na utapanga hapo njee ya geti lakoNaam, mimi nitaenda kuchukua mchicha!