Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naogopa watanichukuliaje?

Duh unaogopa kuanza biashara ya genge kisa watu watakuonaje! Mwenzio nauza uji confidently.

Lemme tell you, hao watu wako bize na mambo yao hata hawakuangalii.

Hiyo hali inatokea pale unapotaka kufanya biashara eneo ulilokulia, my advice, kama unaweza hama eneo au mkoa kabisa.
 
5
SAWAsawa it's psychological ktk umri huo Kila unachofanya unaamgalia watu watakuonaaje knowing this you can make your best decision
I know what to decide thank you
 
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia

Naombe ushauri wenu?
Muuzaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…