Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
muoeDunia ndogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muoeDunia ndogo
PNaamuoe
😂😂😂😂😂😂Tobaaaa
Muelewane akusaidie kuondoa aibu kwenye biashara na mpige hatua nyingine😂😂😂😂😂😂Tobaaaa
Muelewane akusaidie kuondoa aibu kwenye biashara na mpige hatua nyingine
Msisahau kunipa kadi ya harusi mapema.
Muelewane akusaidie kuondoa aibu kwenye biashara na mpige hatua nyingine
Msisahau kunipa kadi ya haru
Kijana anasemajeMuelewane akusaidie kuondoa aibu kwenye biashara na mpige hatua nyingine
Msisahau kunipa kadi ya harusi mapema.
Ahhahaha embu nipe ufafanuzi kidg
Naona unataka sasa nikusaidie hadi kumuambia binti "i love you too" . . . .Ahhahaha embu nipe ufafanuzi kidg
SAWAsawa it's psychological ktk umri huo Kila unachofanya unaamgalia watu watakuonaaje knowing this you can make your best decisionsI range between 20 to 25
I know what to decide thank youSAWAsawa it's psychological ktk umri huo Kila unachofanya unaamgalia watu watakuonaaje knowing this you can make your best decision
MuuzajiHabari zenu ndugu zangu,
Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia
Naombe ushauri wenu?
Ahahahahha ngoja nichangamkeNaona unataka sasa nikusaidie hadi kumuambia binti "i love you too" . . . .
Fika huko inbox kwake,usisahau wine kidogo na pesa ya kumuachia.
We unaviuza lkini?!MImi naogopaga vitu kuoza tu.
Sio aibu mana sio lazima uuzie unakoishi
Naaaam,changamka kijana.Ahahahahha ngoja nichangamke