princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Hapana ila nawazaga tuWe unaviuza lkini?!
zi mHapana ila nawazaga tu
Sema hapa jirani pana mtu anauza namuona ana mzigo leo siku ya 3 nyanya ziko poa/viazi/ ndizi mbivu na mbichi
Nmegundua anachukua vitu vile safi haviharibiki haraka pia anachukua mali isiyoiva sana kama nyanya na viazi
Hakosi wateja mana ni vitu vinahitajika anauza na hayupo kwenye mzunguko mkubws ila anauza kakodi frem ya mtaani naona atakua analipa 50 hivi
Shukrani Kwa tag Mkuu
Pita nyumba Kwa nyumba uwaombe msaada wa unga na vidagaa uone watakuchukuliajeHabari zenu ndugu zangu,
Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia
Naombe ushauri wenu?
Endelea kuona aibu,mi mwenzio ni muajiriwa wa serikali tena jeshini,lakini nimenunua sim tank,mke wangu anauza maji,dumu sh 100/.Habari zenu ndugu zangu,
Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia
Naombe ushauri wenu?
Poapoa.Asante sana katika majibu yote niliypjibiwa umenitia moyo na nguvu ya kufanya biashara
Watakuchukulia kàma wewe unavyowachukulia wenye hayo magenge.Habari zenu ndugu zangu,
Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia
Naombe ushauri wenu?
Kafungue biashara yako mbali na mazingira ulipo sasa. Huko utakapoenda Jitahidi kubadilisha muonekano wako, hakujui mtu humjui mtu ni kazi tu.
Haya sasa, leta kisingizio kingine.
Hapa ndio kwenye tatizo kubwa.Kama ni mazingira uliyokulia [Comfort zone], ni ngumu Sana, unahitaji zaidi ya ujasiri , ondoka comfort zone, Jiulize ukiondoka hapo utapoteza nini cha msingi .
Sahihi kabisa Madame BHapa ndio kwenye tatizo kubwa.
Na wengi hawawezi kuthubutu kutokana na sababu hizo hapo juu.
Ni wachache sana waliojaribu na kufanikiwa katika mazingira ya nyumbani (walikokulia).
Ile watanionaje au watanifikiriaje.....🤔 linafelisha na linaendelea kufelisha wengi mno katika suala zima la kujikwamua kiuchumi ili kujiletea maendeleo.
Anzisha kisha ajiri mtuHabari zenu ndugu zangu,
Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia
Naombe ushauri wenu?
Kuondoka ulipokulia inasaidia sana, Ni hatua ambayo huwezi kujutia .Kabisa
Ila naona suala zima la kuondoka nyumbani limekaa vyema sana, unaanza upya pasi na shaka ya kujulikana ya yeyote.Kuondoka ulipokulia inasaidia sana, Ni hatua ambayo huwezi kujutia .
Au kama inakulazimu kubaki nyumbani usijali chochote .
Watu ni walewale, muhimu ni kupambanaIla naona suala zima la kuondoka nyumbani limekaa vyema sana, unaanza upya pasi na shaka ya kujulikana ya yeyote.
Hakika.Ila naona suala zima la kuondoka nyumbani limekaa vyema sana, unaanza upya pasi na shaka ya kujulikana ya yeyote.