princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Hapana ila nawazaga tuWe unaviuza lkini?!
Sema hapa jirani pana mtu anauza namuona ana mzigo leo siku ya 3 nyanya ziko poa/viazi/ ndizi mbivu na mbichi
Nmegundua anachukua vitu vile safi haviharibiki haraka pia anachukua mali isiyoiva sana kama nyanya na viazi
Hakosi wateja mana ni vitu vinahitajika anauza na hayupo kwenye mzunguko mkubws ila anauza kakodi frem ya mtaani naona atakua analipa 50 hivi