Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naogopa watanichukuliaje?

Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naogopa watanichukuliaje?

Habari zenu ndugu zangu,

Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia

Naombe ushauri wenu?
WEWE NI MPUMBAVU,.........na hata ukifungua ukiwa na hio mindset,wateja watakuchukulia wewe ni MPUMBAVU,then biashara itakufa,utarudi kwenye umasikini wako unaostahili
 
WEWE NI MPUMBAVU,.........na hata ukifungua ukiwa na hio mindset,wateja watakuchukulia wewe ni MPUMBAVU,then biashara itakufa,utarudi kwenye umasikini wako unaostahili
WEWE PIA NI MPUMBAVU NA UMEJIBU UPUMBAVU and zip it
 
Kwanza wanakuongopea kwamba biashara ya genge ina faida sana. Faida ni ya kutosha kulipa kodi na kula.

Watu wa JF wanapenda kusingizia juu ya wao kutojali macho ya watu na wako tayari kwa biashara yoyote. Hua inasuuza moyo kujiwasilisha mbele za watu kama mtu perfect ili kumuona mwingine inferior.

Pathetic.

Unless kama ni kazi mtu uliianza wayback ni ngumu leo kuifanya bila kuhisi utaonwaje. Mimi nilimaliza degree na kuanza kufanya kazi ya kuingiza nyimbo au muvi kwenye CD (kipindi hicho ukimiliki flash we ni wa tofauti) na kufanya computer maintenance.

Na sikuona shida kwakua ni kazi niliifanya kuanzia form one so walioniona ni waliniona nikiifanya tangu form one. Na ilikua nikikaa gengeni kwa mama hainisumbui kwakua nilikaa tangu la tano.

Kama inakusumbua mno hama location.
Umeongea point.
 
Back
Top Bottom