Mimi ningekuwa na Dada nisingekubali aolewe na masikini

Yaani katika kitu huwa nashangaa yaani watu ambao wamebahatika kuwa na dada kuruhusu fukara amuoe dada yake yaani Mimi ningekua na dada fukara hawezi kumuoa yaani masikini akishaingia kwenye familia yetu ya Matajiri analeta mikosi aisee tafuteni hela nyie masikini sio mnakaakaa kizembe kizembe tu mnataka Mimi tajiri ndio niwatunzie hao wake zenu waliochoka sababu ya nyie kuwa masikini
Ungeoa wee mwenyewe tajiri
 
Wewe mwenyewe umeolewa, ungezuiaje dada Yako nae asiolewe
 
Back
Top Bottom