cacico ndio system gani hiyo ya kukaribisha wageni? Embu muelekeze ofisini kwangu aje nimfanyie upekuzi. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Mmh!
Nna wasiwasi na ukaguzi wako Young_Master,
kama sio Mwanajeshi bac utakuwa Dereva wa Bodaboda.
Kha mpaka naogopa kuja ofcn kwako!
Akhu!
hubby morning! sina raha leo.God Forbid!!!
hubby huogopi kuozea the hague??? basi wote tuna huzuni! lolWhat happened?? Leo nna hamu ya kuchinja binadamu....
:spy::spy::spy:
Usiondoke bana, bado kuna wengine wako single and searching
hubby huogopi kuozea the hague??? basi wote tuna huzuni! lol
shshshshsh nakuja! mzima weye?? umenimisije sasa?? rahaje sasa kujua nimemisiwa! wathalimie wote huko, waambie wakuache miaka 1000, lol!cacico ndio nini kuniacha weekend yote napigwa na baridi hapa
huku baridi ni mbaya sana imefikia 15c aise
hebu kuja pande hizi achana na babu Asprin bana Yummy yuko maternity leave bana
Halafu Young_Master amepata kilema cha kudumu kwenye nanihiii yake so kuja pande hizi bana
cacico nimekumiss kila kitu aiseshshshshsh nakuja! mzima weye?? umenimisije sasa?? rahaje sasa kujua nimemisiwa! wathalimie wote huko, waambie wakuache miaka 1000, lol!
Young_Master asikusumbue, ni kuku wa kuchora yule! wa kumhofia kwa sasa ni ODM tu, si unajua kanioa mke wa 3 hivi majuzi?? lol shhshshshshs tutafanya kithirithiri kha!cacico nimekumiss kila kitu aise
Shhhhh maana namuona kama Young_Master anachungulia
Asije akatutoa manundu bure
Ndo manake aise hapa napiga jaramba kupata pata joto