Mimi ODM... Nitoke na nani leo??

Mimi ODM... Nitoke na nani leo??

cacico ndio system gani hiyo ya kukaribisha wageni? Embu muelekeze ofisini kwangu aje nimfanyie upekuzi. Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Mmh!
Nna wasiwasi na ukaguzi wako Young_Master,
kama sio Mwanajeshi bac utakuwa Dereva wa Bodaboda.
Kha mpaka naogopa kuja ofcn kwako!
Akhu!
 
Last edited by a moderator:
asee....
yaani nimezeeka hivi??
hadi wameoa na kuacha....wameolewa wameachika...... Asprin endelea asee....mimi narudi kula pensheni yangu....
 
Last edited by a moderator:
asee....
yaani nimezeeka hivi??
hadi wameoa na kuacha....wameolewa wameachika...... Asprin endelea asee....mimi narudi kula pensheni yangu....
Usiondoke bana, bado kuna wengine wako single and searching

attachment.php
 
  • Thanks
Reactions: RR
hubby huogopi kuozea the hague??? basi wote tuna huzuni! lol

cacico ndio nini kuniacha weekend yote napigwa na baridi hapa
huku baridi ni mbaya sana imefikia 15c aise
hebu kuja pande hizi achana na babu Asprin bana Yummy yuko maternity leave bana
Halafu Young_Master amepata kilema cha kudumu kwenye nanihiii yake so kuja pande hizi bana
 
shshshshsh nakuja! mzima weye?? umenimisije sasa?? rahaje sasa kujua nimemisiwa! wathalimie wote huko, waambie wakuache miaka 1000, lol!
 
shshshshsh nakuja! mzima weye?? umenimisije sasa?? rahaje sasa kujua nimemisiwa! wathalimie wote huko, waambie wakuache miaka 1000, lol!
cacico nimekumiss kila kitu aise
Shhhhh maana namuona kama Young_Master anachungulia
Asije akatutoa manundu bure
Ndo manake aise hapa napiga jaramba kupata pata joto
 
Last edited by a moderator:
cacico nimekumiss kila kitu aise
Shhhhh maana namuona kama Young_Master anachungulia
Asije akatutoa manundu bure
Ndo manake aise hapa napiga jaramba kupata pata joto
Young_Master asikusumbue, ni kuku wa kuchora yule! wa kumhofia kwa sasa ni ODM tu, si unajua kanioa mke wa 3 hivi majuzi?? lol shhshshshshs tutafanya kithirithiri kha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom