Mimi ODM... Nitoke na nani leo??

Weee!! weee!! weee!! Mr Rocky tena ishia hapo hapo...nani kakwambia jogoo wangu hawiki...???
 
Last edited by a moderator:
Weee!! weee!! weee!! Mr Rocky tena ishia hapo hapo...nani kakwambia jogoo wangu hawiki...???
Young_Master nilikuta cheti chako kimedondoka pale njini kati pale sokoni wamama wauza nyanya wanakiongelea aise
Ndo maana nikasema nije nikupe pole na nimchukue mkeo cacico kwenda kucheza nae kombolela ni hilo tuu
Anajua tunakutana wapi so naomba kwa mchana huu kabla hajaenda kwa Babu Asprin nicheze nae kombolela
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
babu mstaarabu, hana shida. atakuadabisha polepole! lol, ila utauweza mfyonzo kama wa hubby wangu?
Hahaha.... ushapewa siri yake toka kwa msiri wako.... achana nao ile makitu.... akhaa! staki kugandwa kama ruba mie. Chezeya mautamu ya mautundu ya mifyonzo weye?
 
Young_Master asikusumbue, ni kuku wa kuchora yule! wa kumhofia kwa sasa ni ODM tu, si unajua kanioa mke wa 3 hivi majuzi?? lol shhshshshshs tutafanya kithirithiri kha!

shshshshsh nakuja! mzima weye?? umenimisije sasa?? rahaje sasa kujua nimemisiwa! wathalimie wote huko, waambie wakuache miaka 1000, lol!

cacico nimekumiss kila kitu aise
Shhhhh maana namuona kama Young_Master anachungulia
Asije akatutoa manundu bure
Ndo manake aise hapa napiga jaramba kupata pata joto

kumbe Young_Master ni joka la mdiimu
Babu hana noma huyu wajukuu zake tunaenda kucheza kombolela tuu wala sio kingine
We valia ile kanga wameandika wenye wivu wajinyonge uje pande hizi
Kopo la kombolela liko tayari hapa

khaaaaaa! naja, nimevaa kanga ya 'mkwaju wako, tiba kwangu' lol! ila kimya kimya wake wenzangu wasisikie! lol, kunimith tu na kutaka nije mazima, kaazi kwel kwel!

Mwambie babu Asprini kuwa unaenda kwa mjukuuu kuna mdudu kaingia jichoni waja kumtoa
Maana naona anapandisha presha na BP na OILCOM na TOTAL kwa pamoja
Babu ODM ni mdudu tuu anakuja kunitoa bana kaingia jichoni

utaniulia mume wallah! mbona tena kwa kumtia hasira? kula vyako kimya kimya kama besta na marlow! lol! naja lakini usinijeruhi!

babu mstaarabu, hana shida. atakuadabisha polepole! lol, ila utauweza mfyonzo kama wa hubby wangu?

cacico hapa taratibu ndio mwendo
Si unamuona kobe anavyonyata ila anafika
Njoo bana Babu wala hana wasi wasi hapa ni kimya kimya tuu

tukutane wapi sasa?? namalizia uji wa kungu nikae sawa kwanza ndio nije! we ushapata mkuyati?? shshshshshs ODM asisikie, lol! yaani nakuja tu, ila mwenyewe hubby wangu nampenda balaa!

Si ndio maana nakuambia wewe kuja pande hizi Yummy ni mke wangu pia ila nasikia siku hizi anacheat
So na mimi nataka nilipize kisasi aise
taratibu yaani hakuna papara

Khaaaaaaa!
Hapa sina mke wallah!!

Ngoja nielekeze nguvu zangu kwa wake zangu Yummy na BADILI TABIA. Najua watanitafutia wa kuziba pengo...
 
Last edited by a moderator:
Hahaha.... ushapewa siri yake toka kwa msiri wako.... achana nao ile makitu.... akhaa! staki kugandwa kama ruba mie. Chezeya mautamu ya mautundu ya mifyonzo weye?
kwani ulivyonipa mfyonzo siku ile nimerudi tena?? kwani mie nimekuganda?? lol! nataka tena weekend, nifyonze kidogo tu!
 
Khaaaaaaa!
Hapa sina mke wallah!!

Ngoja nielekeze nguvu zangu kwa wake zangu Yummy na BADILI TABIA. Najua watanitafutia wa kuziba pengo...
hubby u r my only man, na unajua hilo. huko nilikwenda kucheza kombolela tu, baada ya kuona umetoka muda ukaniacha! lol!
 
Khaaaaaaa!
Hapa sina mke wallah!!

Ngoja nielekeze nguvu zangu kwa wake zangu Yummy na BADILI TABIA. Najua watanitafutia wa kuziba pengo...

Erickb52 yuko wapi aje aone anavyoibiwa huku mchana kweupe BADILI TABIA ushaanza kucheat kwa Erickb52 eeehh Yummy babu hapo sahau humpati tena ashakugeuka maana anasema siku hizi hizo biashara zako za kuhemea mpunga unarudi unanuka shombo tuu wakati yeye wa mjini hataki hizo biashara zako
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah hapo sina neno
Babu Asprin nimeshampelekea mzinga wa Jack Daniel ndo maana nacheza na wife wake mdogo hapa cacico
hebu mnikome we na hilo jogoo la kuchora! mmecheza na mimi wapi na lini?? hubby achana nao hawa, wanakuonea mawivu! mwahhhh babu yangu Asprin, lol!
 
Last edited by a moderator:
bby punguza ukali na wivu! hakunigusa aku!

Kweli kabisa hakuguswa cacico uje tena kesho eeehh hii kombolela imenichosha sana aise
Mpaka kitanda changu kimevunjika kwa sababu ya kucheza kombolela
We cacico uwe unachezea chini bana hii biashara ya kupeleka kitanda kwa fundi nani ataiweza sasa
 
Last edited by a moderator:
kwani ulivyonipa mfyonzo siku ile nimerudi tena?? kwani mie nimekuganda?? lol! nataka tena weekend, nifyonze kidogo tu!

Hapa wamesoma hao vijana wanaotaka kuniibia tundi? Hebu waelezee na busu zangu zilivyo za moto kwenye mashavu yote ya juu na ya chini....:baby:
 
hebu mnikome we na hilo jogoo la kuchora! mmecheza na mimi wapi na lini?? hubby achana nao hawa, wanakuonea mawivu! mwahhhh babu yangu Asprin, lol!
cacico unaturuka mara hii aise
Au nimwambie babu Asprin jinsi ulivyocheza kombolela leo aise
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…