ngoja nijitande hata mtandio tu, maana hivi hivi na shepu yangu ya tangawizi hii, usije fanya waalimu wasitishe mgomo bureeeee! lolOngeza kumnunulia na Lamborghini bana, mwisho wa siku navitumia mie kwa raha zangu. We wagharamia mie nala. Mie nampenda akiwa uchiiii weye wampenda akiwa kavaa? cacico come this way my love, come without ok??
Dah hadi mkeo Yummy kimeo?Kweli mkuu huu ni upepo tuu
Wote hawa wanacheat kuanzia Yummy, cacico, BADILI TABIA sijui na nani vile
Dah hadi mkeo Yummy kimeo?
We jitafutie pressure tu...utakuta housegirl keshakamatwa na Houseboy ndio unakapolia....Wanacheat
Mchana uko kazini yeye anabaki home anadai analea mtoto kumbe anaishia kwa babu
Natangaza mgomo rasmi wa kuhama chumba yaani nahama master bed room naenda kulala kwa house gal
We jitafutie pressure tu...utakuta housegirl keshakamatwa na Houseboy ndio unakapolia....
We goma mi ntakuja kukusaidia kumlea Yummy
Hahahaaa huyo sio kimeo tu bali SUPER KIMEO yan cha wote....!Huku kwangu hakuna house boy na huyu house gal nimemlea mwenyewe najua alivyo kuanzia anapoanza kuota nido mpaka sasa anavutia vutia
na namnunulia marashi mimi mwenyewe Erickb52 wewe kaendelee na mkeo BADILI TABIA japo nae kimeo anacheat na Babu
Mkuu Erickb52, kusoma hujui hata picha za AmKATRINA na Remmy zimekushinda? Hebu ziangalie hapo chini...Dah Asprin tunaangalia nani wa kuja nae huko ili tukigonga kama tatu tatu tufanye ukaguzi kwa nafasi na raha....
Ni kama wewe unavyosema utoke vipi
Am here darling!
How are you!
mwahhh bby yangu! wakuacha nasema, tena wakuache kwa karne nzimaaaaa! lol
ngoja nijitande hata mtandio tu, maana hivi hivi na shepu yangu ya tangawizi hii, usije fanya waalimu wasitishe mgomo bureeeee! lol
kama una hasira mie kupendwa na hubby wangu! KADEKI BAHARI MAMA, upunguze stress! ANZIA OCEAN ROAD, ILI UKIZIDIWA UWAHI HOSSY! LOL! AmKATRINA morning!Mjini hapa!
Wewe ukiujua huu,wenzio wanaujua ule.
Baki hapohapo na mawazo yako hayo.