Mimi ODM... Nitoke na nani leo??

Mimi ODM... Nitoke na nani leo??

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
68,223
Reaction score
96,083
Yaani nna hasira mbaya mpaka nimesahau kuwasalimuni.... kuna mtu natamani nimrestishe in Piis.....

IMG_8058.JPG


Lakini kuna ushauri nimepewa na washkaji zangu kuwa leo nitoke na mmoja kati ya mawaifu zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA. Hawa warembo wote nawapenda lakini nimeshauriwa nitoke na mmoja wao tu ili akanipunguzie hasira..... yaani tukapate mambo flani pamoja.

PatamuHapoo.jpg


Sasa nawaombeni wadau wa Chit Chat Kaizer, Bishanga, Erickb52, platozoom, sweetlady, charminglady Young_Master ummu kulthum, princess enny, Bi nyakomba Catherine, gfsonwin, Mamndenyi, Remmy et el.. Eti nitoke na nani leo? Je...

Je nitoke na cacico?

attachment.php


Au BADILI TABIA

attachment.php


Au Yummy?

attachment.php


Au niendelee kujibaraguza na mzoefu wangu Kongosho?

ASKARI.jpg


Naombeni msaada wenu wadau mkizingatia tayari nimekwisha lewa............!
 
Last edited by a moderator:
Cacico analipa, cheki upajaa...
Huyu atakupunguzia sana hasira.
Badili tabia mawenge mengi atakuongeza stress buree.
Remmy wallah umebadilisha avatar nikabaki najiuliza maswali kuliko majibu! kwanza nitumie number yako ya m-pesa nikutumie madoller! lol!
 
Last edited by a moderator:
Remmy wallah umebadilisha avatar nikabaki najiuliza maswali kuliko majibu! kwanza nitumie number yako ya m-pesa nikutumie madoller! lol!
Afu we wife material cacico mbona unachelewa kukam zis wei? Mi nshaanza kuandaa mahanjumati hapa.... Njoo ntoe hasira bana...

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Nasubiri majibu......sijui atapitishwa nani wallaih daaah!! Mapigo ya moyo yanienda mbioooo mie
Ongeza juhudi utafanikiwa. BTW hilo panga unataka kucharanga wake wenzio? Wivu au?

attachment.php
 
Back
Top Bottom