Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Yaani nna hasira mbaya mpaka nimesahau kuwasalimuni.... kuna mtu natamani nimrestishe in Piis.....
Lakini kuna ushauri nimepewa na washkaji zangu kuwa leo nitoke na mmoja kati ya mawaifu zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA. Hawa warembo wote nawapenda lakini nimeshauriwa nitoke na mmoja wao tu ili akanipunguzie hasira..... yaani tukapate mambo flani pamoja.
Sasa nawaombeni wadau wa Chit Chat Kaizer, Bishanga, Erickb52, platozoom, sweetlady, charminglady Young_Master ummu kulthum, princess enny, Bi nyakomba Catherine, gfsonwin, Mamndenyi, Remmy et el.. Eti nitoke na nani leo? Je...
Je nitoke na cacico?
Au BADILI TABIA
Au Yummy?
Au niendelee kujibaraguza na mzoefu wangu Kongosho?
Naombeni msaada wenu wadau mkizingatia tayari nimekwisha lewa............!

Last edited by a moderator: