Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mbumbumbu fcingekuwa ya wengi anatoa wapi mandate ya kuiweka rehani..Rage njoo uchukuwe watu wako huku...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbumbumbu fcingekuwa ya wengi anatoa wapi mandate ya kuiweka rehani..Rage njoo uchukuwe watu wako huku...
Weka Tigo yako ndio niamini wewe ni mnazi kweliNatangaza kubet nyumba ya urithi.. iwapo hapo jpili tutafungwa na hao kina bocco
..na kwanza naskia bocco hachezi hiyo jpili... ni aibu kubwa sisi wa kimataifa kufungwa na simba au mbumbumbu.. mwenye dau tuweke hapa!!!!!
ni kweli kabisa kichwa yangu imejaa maji ya chumviKichwa imejaa maji ya chumvi
udogo sio kigezo weka dauMadogo kama hawa hata hizo za urithi hamna!.
ouk na we weka dau ambalo ni tigo kama tukiwachapaWeka Tigo yako ndio niamini wewe ni mnazi kweli
mali ya mgogoro hiyo
Haha mzee wa liver sema..Nyumba za urithi hata ukiinunua halali ni shida.
Haha mzee wa liver sema..
Sio powa mzee watapata tabú sana wale.. MkuuNipo mkuu, tunasubiri kumchinja mtu kesho kwa kikosi cha pili.
uzuri wa vocha isuguliwe ili namba zionekane, Mi naweka kisugulio!ouk na we weka dau ambalo ni tigo kama tukiwachapa