Mimi pancho. Natangaza kuweka dau ya urithi iwapo yanga tutafungwa na simba sc

Mimi pancho. Natangaza kuweka dau ya urithi iwapo yanga tutafungwa na simba sc

Natangaza kubet nyumba ya urithi.. iwapo hapo jpili tutafungwa na hao kina bocco
..na kwanza naskia bocco hachezi hiyo jpili... ni aibu kubwa sisi wa kimataifa kufungwa na simba au mbumbumbu.. mwenye dau tuweke hapa!!!!!
Weka Tigo yako ndio niamini wewe ni mnazi kweli
 
Back
Top Bottom