Hisha Sorel
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 192
- 140
Na asilimia 14.7 ya Wamarekani hawana kazi, waliobakia wa deal na gig economySawa lakini ngano 32000 mafuta 82000
Mkuu kama unataka kumtetea Magu wewe mtetee tu... ila haya ya Chato yaache tu maana hayana mfanoa wake, labda utusaidie; yeye ni wa 5, je wa 4 waliotangulia walifanya nini kwao?Miaka yote ambapo Dar es salaam, ambao sio mji mkuu, imekuwa ikipata priority kwenye investment hakuna aliekuwa akilalamika; ila leo imekuwa tatizo kwa Chato.
Sawa lakini ngano 32000 mafuta 82000
Dar ni business hub ya Tanzania, ndiyo maana inatambulika kama mji wa kibiashara wa Tanzania, na hii ni kutokana na location yake. Huwezi linganisha na mikoa mingine na pia kwa muda mrefu ofisi zote za serikali na mashirika makubwa plus barozi za nchi mbalimbali ziko hapa.Miaka yote ambapo Dar es salaam, ambao sio mji mkuu, imekuwa ikipata priority kwenye investment hakuna aliekuwa akilalamika; ila leo imekuwa tatizo kwa Chato.
nani aliyechagua Dar iwe bussiness Hub, mi sikumbuki kupigia kura hiyo decision!!!Dar ni business hub ya Tanzania, ndiyo maana inatambulika kama mji wa kibiashara wa Tanzania, na hii ni kutokana na location yake. Huwezi linganisha na mikoa mingine na pia kwa muda mrefu ofisi zote za serikali na mashirika makubwa plus barozi za nchi mbalimbali ziko hapa.
hiyo commecial capital inachaguliwaje? kama sio investment ya wakoloni ilisukuma watu kuchukulia kama capital.Mkuu kama unataka kumtetea Magu wewe mtetee tu... ila haya ya Chato yaache tu maana hayana mfanoa wake, labda utusaidie; yeye ni wa 5, je wa 4 waliotangulia walifanya nini kwao?
Kuhusu Dar... kaa ukijua kuna Capital city na Commercial Capital.
Location yake imeifanya dar iwe hivyo haihitaji kupiga kura hata. Ni sawa sehemu yenye mgodi automatically kutatokea mji mkubwa na maendeleo ya haraka.nani aliyechagua Dar iwe bussiness Hub, mi sikumbuki kupigia kura hiyo decision!!
Pamoja na mihemuko uliyonayo pia dishi limeyumba, siyo makosa yako.Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince...
Mahindi gani hayo ya 6000? kitu kama hujui nyamazaMbona hujasema kwamba mahindi, mpunga debe moja ni 6000 tu
sijakuelewa kwaninin Dar ni tofauti: kwani Dar palianza kama Chato vile, sehemu fulani ambapo wakoloni walipapenda kisa ukaribu na bahari.Location yake imeifanya dar iwe hivyo haihitaji kupiga kura hata. Ni sawa sehemu yenye mgodi automatically kutatokea mji mkubwa na maendeleo ya haraka....
Kuna haja ya kumuongezea muda.Rais John Pombe Joseph Magufuli
Rais mzalendo asiyeyumbishwa na mabeberu wala vibaraka wao
watu hao million 7 walitokea wapi kama hawakufuata maendelea yaliotokana na uwekezaji kwenye jiji la DarDar ni mji wenye wakazi takribani milioni 7,wakazi ambao ukiwapeleka nchi jirani ya Zanzibar hata kupishana hawateweza Sababu ya mbanano, wenye akili timamu priorities zikipelekwa huko wala hatuwezi kuhoji, lkn chizi mmoja anakuja kutetea priorities zipelekwe kijiji cha chato ambacho wakazi wake hawafiki hata laki moja!!
Mimi nashauri tuhame DODOMA.Twende Chato# makao makuu ya nchiwatu hao million 7 walitokea wapi kama hawakufuata maendelea yaliotokana na uwekezaji kwenye jiji la Dar....
Dar geographical location yake ndiyo inaifanya iwe kama ilivyo hata mkoloni aliichagua kwasababu ya geographical location na imeendelea kuwa hivyo.sijakuelewa kwaninin Dar ni tofauti: kwani Dar palianza kama Chato vile, sehemu fulani ambapo wakoloni walipapenda kisa ukaribu na bahari.
Kuhusu yeye kutokea chato, tatizo lipo wapi?
Wanaoishi Chato ni waTazania pia, wanalipa kodi, na wanataka maendeleo.
Location ilikuwa priority ya mkoloni (Extraction ya resources kupitia port)Dar geographical location yake ndiyo inaifanya iwe kama ilivyo hata mkoloni aliichagua kwasababu ya geographical location na imeendelea kuwa hivyo.
Sasa mkuu ukitaka kujicompare una jicompare na mwenye afya au mgonjwa? Mimi nitajicompare na mwenye afya, siwezi sema eti mimi naumwa ila flani anaumwa zaidi. Kwahiyo siyo haki kufanya comparison na wizi aliofanya Zuma na ndiyo maana hata hakumalizakipindi chake.
Hakuna aliyesema chato haipaswi kupata investment, bajeti ingekuwa inaruhusu ilipaswa kila mtaa hapa tz upate investment zaidi hata ya chato, lkn tatizo linakuja kasungura ni kadogo inatakiwa kila mkoa walau upate kamnofu angalau kapunje kamoja ka mshikaki, pia kumbuka investment zipo planned kitaifa ambazo kuna short/medium na long term, ni uendawazimu kujenga national airport chato ili kije kitumike mwaka 2100 wakati kuna wakazi million 7 daresalam hawana uhakika wa maji.watu hao million 7 walitokea wapi kama hawakufuata maendelea yaliotokana na uwekezaji kwenye jiji la Dar
hivi unafikili wakoloni wasingejenga Dar watu wangeamia Dar?
Investment inamaanisha kuweka ukitegemea matunda mbeleni.
Sijui kwanini Chato aipaswi kupata investment