Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?

Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?

Upuuzi mtupu
Unafananishaje Dar es salaam na Chatto?
Tumia akili kidogo utambue asilimia ngapi ya mapato ya serikali yanapatikana Dar na ngapi yana patikana nchi ya Magufulistan yenye makao makuu New Chatto?
Kwa nini Chatto na sio Tabora Mpanda Singida nk?
Tumia kilichoko kwenye fuvu kufikiria.
 
Sehemu kuitwa commercial city au business hub ni kutokana na volume ya biashara. Sio decision mtu anafanya ni sawa na Johannesburg kuitwa HQ ya multinationals Africa au Arusha kuitwa ni EA tourism Gateway sababu ya kuwa na Big 5..
so, Sio decision ya mtu

Dar kuwa Business hub kwa kiasi kikubwa kilichangiwa na yenyewe kuwa capital city & Port city. Dar ni Gateway ya Biashara na inaserve nchi nyingi hivyo hilo halina ubishi
Dar imekuwa km ilivyo automatically, sasa chato wanalazimisha sijui km watafanikiwa
 
Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince.

Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini.

Kwani ni lengo lao kuona nchi inaendeshwa kama "bussiness as usual": tupe madini, ardhi, na control sisi tutakupa mikopo ili tukudai na mwishowe tuku-control.

Struggle ya kuondoa nchi katika mtego huo ndo chanzo cha malalamiko ya aina yoyote kupewa sauti:

Leo, wameanza kulalamika kuhusu Rais Magufuli kuwekeza Chato ambayo ipo Tanzania na wanaoishi ni waTanzania na pia auhitaji visa kuamia.
Miaka yote ambapo Dar es salaam, ambao sio mji mkuu, imekuwa ikipata priority kwenye investment hakuna aliekuwa akilalamika; ila leo imekuwa tatizo kwa Chato.

Uvivu wa critics inabidi uwe exposed kwani unaharibu credibility ya argument zao

Mh. Magufuli ni Force muhimu katika hii nchi: we need change and he is the change!
Nimekuja mbio nikujua kuna nondo za maana umeainisha hapa....kumbe utopolo tu,weka hoja zenye mashiko sio mipasho uliyoandika hapa.Hebu shawishi jukwaa kwa hoja.
 
Upuuzi mtupu
Unafananishaje Dar es salaam na Chatto?
Tumia akili kidogo utambue asilimia ngapi ya mapato ya serikali yanapatikana Dar na ngapi yana patikana nchi ya Magufulistan yenye makao makuu New Chatto?
Kwa nini Chatto na sio Tabora Mpanda Singida nk?
Tumia kilichoko kwenye fuvu kufikiria.
Kweli kabisa asante.
 
Wewe kutoyumbishwa na wazungu kunamsadia nini mtanzania maskini
Dah: kweli hii nchi inaitaji kulindwa kwa mabavu

yani unashindwa kutafakali madhala ya ukoloni?!!

nenda ukagoogle "banana republic" utapata jibu lako
 
Wewe kutoyumbishwa na wazungu kunamsadia nini mtanzania maskini
Ukikubali kuyumbishwa na wazungu umaskini unaisha eeee!?
Unamaanisha unaisha Kama kule DRC wanavyoyumbishwa na umaskini wao ulivyoisha🙄🙄🙄🙄
 
Tumewekeza trillion 1 chato return yake itarudi baada ya muda gani?

2060?

Na vipi km magufuli akiondoka madarakani ? Hii hype itaendelea au ndyo itakuwa imeisha?

Umenikumbusha katavi wakati pinda alivyokuwa waziri mkuu, Leo pinda hayupo na katavi km vile imejifia.
siwezi jibu hilo kwani sina Data za Chato, lakini sio unthinkable kwani investment huwa zinalenga kukuza mapato.

Kwahiyo uwezi kuangalia revenue ya leo na kufanya projection kwamba 2060 ndo 500 million USD ndo zitarudi.

Inawezekana kabisa zikarudi mapema kama kukiwa na usimazizi makini.
 
watu hao million 7 walitokea wapi kama hawakufuata maendelea yaliotokana na uwekezaji kwenye jiji la Dar

hivi unafikili wakoloni wasingejenga Dar watu wangeamia Dar?

Investment inamaanisha kuweka ukitegemea matunda mbeleni.

Sijui kwanini Chato aipaswi kupata investment
Investiment siku zote hufanyika strategically and by being planned not by being politically motivated and for a small group of people benefits.Dar and Dodoma investiments zinalenga kunufaisha jamiii nzima ya watanzania maana maeneo yenyewe yako strategic na manufaa kwa wote....hebu tafakari hili kidogo.
 
Ukikubali kuyumbishwa na wazungu umaskini unaisha eeee!?
Unamaanisha unaisha Kama kule DRC wanavyoyumbishwa na umaskini wao ulivyoisha🙄🙄🙄🙄
Kongo wanajiyumbisha wenyewe kwa kutoheshimu katiba yao wala sio shinikizo kutoka kwa wazungu bali umbumbumbu wao kama huu wa chatorism ya sasa.
 
Sehemu kuitwa commercial city au business hub ni kutokana na volume ya biashara. Sio decision mtu anafanya ni sawa na Johannesburg kuitwa HQ ya multinationals Africa au Arusha kuitwa ni EA tourism Gateway sababu ya kuwa na Big 5..
so, Sio decision ya mtu

Dar kuwa Business hub kwa kiasi kikubwa kilichangiwa na yenyewe kuwa capital city & Port city. Dar ni Gateway ya Biashara na inaserve nchi nyingi hivyo hilo halina ubishi
Mbona Dubai imefanywa kuwa bussiness Hub kupita investment ya kutokana na mafuta

investment ndo inavutia watu

Chato ipo geita, Geita kuna madini, madini yanataka biashara nyingi ili kupata thamani. Biashara hizi kama law firms zinataka wafanyakazi wasomi; wasomi hawa wanataka maisha mazuri (Hospitali, Airpost, bara bara, makazi, leisure).

Simple,
Next!!
 
tulia dawa iingie
na jiandaeni 2025 mpaka muelewe kwamba Tanzania ni WaTanzania na sio wazungu
Dawa ipo mara nyingi kwa mazezeta kama wewe unajenga hoja ya kitoto kabisa ambayo asilimia kubwa ni ubadhirifu wa rasilimali za taifa.
 
Kongo wanajiyumbisha wenyewe kwa kutoheshimu katiba yao wala sio shinikizo kutoka kwa wazungu bali umbumbumbu wao kama huu wa chatorism ya sasa.
Wanajiyumbisha wenyewe kama Tundu wa amstadam alivyokua anajaribu kuyumbisha Tanzania akaishia kuyumba mwenyewe😂😂

Basi waambie Kongo wawaamrishe U.N. waondoe majeshi yao kule maana kuyumba wanayumba huku U.N. wanalipwa kulinda madini ya beberu. Au wasubiri hadi wamalizie waondoke wenyewe??
 
Back
Top Bottom