Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?

Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?

Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince.

Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini.

Kwani ni lengo lao kuona nchi inaendeshwa kama "bussiness as usual": tupe madini, ardhi, na control sisi tutakupa mikopo ili tukudai na mwishowe tuku-control.

Struggle ya kuondoa nchi katika mtego huo ndo chanzo cha malalamiko ya aina yoyote kupewa sauti:

Leo, wameanza kulalamika kuhusu Rais Magufuli kuwekeza Chato ambayo ipo Tanzania na wanaoishi ni waTanzania na pia auhitaji visa kuamia.
Miaka yote ambapo Dar es salaam, ambao sio mji mkuu, imekuwa ikipata priority kwenye investment hakuna aliekuwa akilalamika; ila leo imekuwa tatizo kwa Chato.

Uvivu wa critics inabidi uwe exposed kwani unaharibu credibility ya argument zao

Mh. Magufuli ni Force muhimu katika hii nchi: we need change and he is the change!
Magufuri hatunaye tenà duniani
 
Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince. Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini. Kwani ni lengo lao kuona nchi inaendeshwa kama "bussiness as usual": tupe madini, ardhi, na control sisi tutakupa mikopo ili tukudai na mwishowe tuku-control. Struggle ya kuondoa nchi katika mtego huo ndo chanzo cha malalamiko ya aina yoyote kupewa sauti: Leo, wameanza kulalamika kuhusu Rais Magufuli kuwekeza Chato ambayo ipo Tanzania na wanaoishi ni waTanzania na pia auhitaji visa kuamia. Miaka yote ambapo Dar es salaam, ambao sio mji mkuu, imekuwa ikipata priority kwenye investment hakuna aliekuwa akilalamika; ila leo imekuwa tatizo kwa Chato. Uvivu wa critics inabidi uwe exposed kwani unaharibu credibility ya argument zao Mh. Magufuli ni Force muhimu katika hii nchi: we need change and he is the change!
Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince.

Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini.

Kwani ni lengo lao kuona nchi inaendeshwa kama "bussiness as usual": tupe madini, ardhi, na control sisi tutakupa mikopo ili tukudai na mwishowe tuku-control.

Struggle ya kuondoa nchi katika mtego huo ndo chanzo cha malalamiko ya aina yoyote kupewa sauti:

Leo, wameanza kulalamika kuhusu Rais Magufuli kuwekeza Chato ambayo ipo Tanzania na wanaoishi ni waTanzania na pia auhitaji visa kuamia.
Miaka yote ambapo Dar es salaam, ambao sio mji mkuu, imekuwa ikipata priority kwenye investment hakuna aliekuwa akilalamika; ila leo imekuwa tatizo kwa Chato.

Uvivu wa critics inabidi uwe exposed kwani unaharibu credibility ya argument zao

Mh. Magufuli ni Force muhimu katika hii nchi: we need change and he is the change!
Huna akili
We need strong institutions.
Haya sasa meko kafa mfuateni
 
Rais John Pombe Joseph Magufuli

Rais mzalendo asiyeyumbishwa na mabeberu wala vibaraka wao



Mtu anasema funga Dar es salaam, funga Tanga..... sifungi😅😅😅

Kufa tutakufa tuu iwe kwa korona au kwa malaria au kwa cancer vyote ni vifo... kikubwa tuchukue tahadhari

Rest well our hero Mbeba maono President John Pombe Magufuli
 
Back
Top Bottom