Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,423
- 29,012
wananchi wakishapiga kura decision ya chama kilichochaguliwa inakuwa-assumed kuwa ni decision la wananchi: ndo maana ya representative democracy. Na ndo maana ya mandate
Nchi yoyote lazima iwe na mgongano wa mitazamo, hakuna policy ya nchi ambayo in 100% approval
lakini hiyo sio sufficient argument ya impropriety
nyie semeni tu "mtazamo wangu wa kisiasa na kiuchumi unafanya nisipende investment North of Tanzania" basi.
Lakini msianze kulia nepotism: nepotism kweye public infastructure, beneficiary wakiwa Watanzania wenzenu, tena hata wewe waweza kwenda ku-benefit ukisikia:
ingekuwa nyumba yake binafsi si mngeandamana
Nchi haipo chini ya chama, ipo chini ya Central Government ambayo inasimamiwa na katiba ya nchi. Hatuendeshwi kwa maamuzi ya chama, tunaendeshwa kwa Serikali ambayo ipo madarakani kutona na chama flani kushinda
Lipo bunge ambalo kwa kiasi kikubwa ndio sauti za wananchi maana ndipo viongozi waliochaguliwa na wananchi walipo (Only if uchaguzi ulikuwa wa HURU NA HAKI).
Kitu kinapojadiliwa bungeni kwa maslahi ya wananchi hiyo ndio inakuwa sauti ya wananchi and not the otherwise
MR HARD FACT, Ulisema wenzio hawana FACTS na unasimamia FACTS. Mwisho wa siku na wewe umeanza hadi kutumia hisia binafsi na vijembe kama back Up, Next time uwe na respect kwa Maoni ya binadamu wenzio pasipo kujimwambafai vile usivyostahili