Nepotism ndyo inayotukwamisha bara la Africa kupiga hatua...watu hao million 7 walitokea wapi kama hawakufuata maendelea yaliotokana na uwekezaji kwenye jiji la Dar
hivi unafikili wakoloni wasingejenga Dar watu wangeamia Dar?
Investment inamaanisha kuweka ukitegemea matunda mbeleni.
Sijui kwanini Chato aipaswi kupata investment
Sikatai, lakini mi naona we unashort vision:Hakuna aliyesema chato haipaswi kupata investment, bajeti ingekuwa inaruhusu ilipaswa kila mtaa hapa tz upate investment zaidi hata ya chato, lkn tatizo linakuja kasungura ni kadogo inatakiwa kila mkoa walau upate kamnofu angalau kapunje kamoja ka mshikaki, pia kumbuka investment zipo planned kitaifa ambazo kuna short/medium na long term, ni uendawazimu kujenga national airport chato ili kije kitumike mwaka 2100 wakati kuna wakazi million 7 daresalam hawana uhakika wa maji.
We ndo mvivu unaefurahia magofu yajayo,ujui pato kubwa la nchi utoka dar.Hayo madini ukikaa nayo na kutoyageuza pesa yanafaa nn,Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince.
Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini.
Kwani ni lengo lao kuona nchi inaendeshwa kama "bussiness as usual": tupe madini, ardhi, na control sisi tutakupa mikopo ili tukudai na mwishowe tuku-control.
Struggle ya kuondoa nchi katika mtego huo ndo chanzo cha malalamiko ya aina yoyote kupewa sauti:
Leo, wameanza kulalamika kuhusu Rais Magufuli kuwekeza Chato ambayo ipo Tanzania na wanaoishi ni waTanzania na pia auhitaji visa kuamia.
Miaka yote ambapo Dar es salaam, ambao sio mji mkuu, imekuwa ikipata priority kwenye investment hakuna aliekuwa akilalamika; ila leo imekuwa tatizo kwa Chato.
Uvivu wa critics inabidi uwe exposed kwani unaharibu credibility ya argument zao
Mh. Magufuli ni Force muhimu katika hii nchi: we need change and he is the change!
Inapendeza kwa vile unajua bei ya hivyo vingine, hebu kiongozi nipe sababu ya msingi kwanini hivyo vingine vimepanda saana?Mbona hujasema kwamba mahindi, mpunga debe moja ni 6000 tu
nepotism ya kujenga mali za Umma, ni nepotism ninayotaka, tena safiiiNepotism ndyo inayotukwamisha bara la Africa kupiga hatua...
Halafu mpuuzi km wewe unatetea huo upumbavu!
Miradi ya zaidi ya 1 trillion kijijini kwake raisi,... huku maeneo mengineyo hta maji hayana halafu unaona Sawa Tu!
Kama wewe ndiye GT wa Lumumba na hoja mfu kama hz basi Chato itakuwa nchi kabisanani aliyechagua Dar iwe bussiness Hub, mi sikumbuki kupigia kura hiyo decision!!!
Wewe kula kulala unajua nini kuhusu bei za mazao ya chakula?Mbona hujasema kwamba mahindi, mpunga debe moja ni 6000 tu
kuwekeza kwenye mji mmoja ni ujinga wa hali ya juu sanaaa!!!We ndo mvivu unaefurahia magofu yajayo,ujui pato kubwa la nchi utoka dar.Hayo madini ukikaa nayo na kutoyageuza pesa yanafaa nn,
kwani lazima imaya iwe moja:Kwa hiyo change ni kuhamishia himaya chato, dodoma imeshapigwa mweleka..
Halafu Mwanza itakuwa nini? wee jamaa utakuwa na matatizo makubwa kwenye uwezo wako wa kufikiri..kwani lazima imaya iwe moja:
Dodoma kuwe mji wa sheria na siasa, Chato madini, Dar biashara nk.
sambaza maendeleo, sio Dar tu!
Uvivu wa kufikiri na maono hafifu vinakusumbua mtoa mada.Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince.
Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini.
Kwani ni lengo lao kuona nchi inaendeshwa kama "bussiness as usual": tupe madini, ardhi, na control sisi tutakupa mikopo ili tukudai na mwishowe tuku-control.
Struggle ya kuondoa nchi katika mtego huo ndo chanzo cha malalamiko ya aina yoyote kupewa sauti:
Leo, wameanza kulalamika kuhusu Rais Magufuli kuwekeza Chato ambayo ipo Tanzania na wanaoishi ni waTanzania na pia auhitaji visa kuamia.
Miaka yote ambapo Dar es salaam, ambao sio mji mkuu, imekuwa ikipata priority kwenye investment hakuna aliekuwa akilalamika; ila leo imekuwa tatizo kwa Chato.
Uvivu wa critics inabidi uwe exposed kwani unaharibu credibility ya argument zao
Mh. Magufuli ni Force muhimu katika hii nchi: we need change and he is the change!
dictatorRais John Pombe Joseph Magufuli
Rais mzalendo asiyeyumbishwa na mabeberu wala vibaraka wao
sio eneo langu: mi nimejibu hoja: sio lazima uwe na eneo moja tu lenye maendeleoHalafu Mwanza itakuwa nini? wee jamaa utakuwa na matatizo makubwa kwenye uwezo wako wa kufikiri..
Tumewekeza trillion 1 chato return yake itarudi baada ya muda gani?nepotism ya kujenga mali za Umma, ni nepotism ninayotaka, tena safiii
kama kila mtu angekuwa anajenga miundombinu anapopapenda mbona leo tungekuwa mbali.
ni bora nepotism ya infastructure kuliko nepotism ya mtoto wa kiongozi kusomeshwa nje ya nchi au kujenga nje ya nchi
Chato ni Tanzania kwenye waTanzania: unaweza amia kama ukitaka ufuate maendeleo.
Pumba kabisakuwekeza kwenye mji mmoja ni ujinga wa hali ya juu sanaaa!!!
Yani likitokea janga mji mmoja basi uchumi hoi. Ndugu hapo hapana.
Pia kwanini institution (banks, insurance, admin) zisiamie Chato?! kwani Dar kuna nini kama sio miundombinu?!
ndugu point yako haileti maana: unapinga miundombinu Chato itakayovutia firms zizonatoa thamani ya madini: ukiataka miundombinu iende Dar tu kwani ndo kuna-miundominu (kwani Dar na yenyewe si iliwekezwa au)
what?!
nani aliyechagua Dar iwe bussiness Hub, mi sikumbuki kupigia kura hiyo decision!!!
mwisho wa siku mji ukua kulingana na investment: wakoloni walichagua Dar waka-invest na wanachi wakafuate investment.
Kwanini tusifante ivyo kwa miji mingine: tena mji wenye wazawa
AlishakataaKuna haja ya kumuongezea muda.
We ndo unamiss point, kusambaza maendeleo ndo point yetu kuu watz, magufuli hasambazi maendeleo Bali analimbikiza maendeleo alipokulia, mbaya zaidi hata miradi anayolimbikiza chato si kipaumbele cha wachato Bali vipaumbele vyake binafsi, daresalam nimetolea mfano tu kama sehemu yenye wakazi wengi na sijasema priorities zinazopelekwa chato, zote zipelekwe dar lahasha inapaswa zisambazwe mikoa tofauti tofauti.Sikatai, lakini mi naona we unashort vision:
kama tukikomaa ku-invest Dar es salaam tu tutaendelea kudeal na hao watu million 7 bila maji.
Ila tukisamabaza investment kwenye vimiji vidogo, inamaana tunasambaza watu pia, tunapunguza wimbi la watu Dar es salaam, na kupunguza demand kwenye Dar es salaam resources.
Kuna miji mikubwa duniani na ina kiasi kikubwa cha investment na bado wajatatua matatizo yao: lakini wangesambaza maendeleo wangepunguza congestion na mwishowe kuondoa matatizo yanayotokana na urbanisation.
kuhusu kwanini Chato, mi sijui kwanini isiwe Chato: kwani ni mji wa Tanzania, uliokuwa na waTanzania tena kwenye eneo la migodi. so why not!!