Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?

Upuuzi mtupu
Unafananishaje Dar es salaam na Chatto?
Tumia akili kidogo utambue asilimia ngapi ya mapato ya serikali yanapatikana Dar na ngapi yana patikana nchi ya Magufulistan yenye makao makuu New Chatto?
Kwa nini Chatto na sio Tabora Mpanda Singida nk?
Tumia kilichoko kwenye fuvu kufikiria.
 
Dar imekuwa km ilivyo automatically, sasa chato wanalazimisha sijui km watafanikiwa
 
Nimekuja mbio nikujua kuna nondo za maana umeainisha hapa....kumbe utopolo tu,weka hoja zenye mashiko sio mipasho uliyoandika hapa.Hebu shawishi jukwaa kwa hoja.
 
Kweli kabisa asante.
 
Wewe kutoyumbishwa na wazungu kunamsadia nini mtanzania maskini
Dah: kweli hii nchi inaitaji kulindwa kwa mabavu

yani unashindwa kutafakali madhala ya ukoloni?!!

nenda ukagoogle "banana republic" utapata jibu lako
 
Wewe kutoyumbishwa na wazungu kunamsadia nini mtanzania maskini
Ukikubali kuyumbishwa na wazungu umaskini unaisha eeee!?
Unamaanisha unaisha Kama kule DRC wanavyoyumbishwa na umaskini wao ulivyoisha🙄🙄🙄🙄
 
siwezi jibu hilo kwani sina Data za Chato, lakini sio unthinkable kwani investment huwa zinalenga kukuza mapato.

Kwahiyo uwezi kuangalia revenue ya leo na kufanya projection kwamba 2060 ndo 500 million USD ndo zitarudi.

Inawezekana kabisa zikarudi mapema kama kukiwa na usimazizi makini.
 
Investiment siku zote hufanyika strategically and by being planned not by being politically motivated and for a small group of people benefits.Dar and Dodoma investiments zinalenga kunufaisha jamiii nzima ya watanzania maana maeneo yenyewe yako strategic na manufaa kwa wote....hebu tafakari hili kidogo.
 
Ukikubali kuyumbishwa na wazungu umaskini unaisha eeee!?
Unamaanisha unaisha Kama kule DRC wanavyoyumbishwa na umaskini wao ulivyoisha🙄🙄🙄🙄
Kongo wanajiyumbisha wenyewe kwa kutoheshimu katiba yao wala sio shinikizo kutoka kwa wazungu bali umbumbumbu wao kama huu wa chatorism ya sasa.
 
Mbona Dubai imefanywa kuwa bussiness Hub kupita investment ya kutokana na mafuta

investment ndo inavutia watu

Chato ipo geita, Geita kuna madini, madini yanataka biashara nyingi ili kupata thamani. Biashara hizi kama law firms zinataka wafanyakazi wasomi; wasomi hawa wanataka maisha mazuri (Hospitali, Airpost, bara bara, makazi, leisure).

Simple,
Next!!
 
tulia dawa iingie
na jiandaeni 2025 mpaka muelewe kwamba Tanzania ni WaTanzania na sio wazungu
Dawa ipo mara nyingi kwa mazezeta kama wewe unajenga hoja ya kitoto kabisa ambayo asilimia kubwa ni ubadhirifu wa rasilimali za taifa.
 
Kongo wanajiyumbisha wenyewe kwa kutoheshimu katiba yao wala sio shinikizo kutoka kwa wazungu bali umbumbumbu wao kama huu wa chatorism ya sasa.
Wanajiyumbisha wenyewe kama Tundu wa amstadam alivyokua anajaribu kuyumbisha Tanzania akaishia kuyumba mwenyewe😂😂

Basi waambie Kongo wawaamrishe U.N. waondoe majeshi yao kule maana kuyumba wanayumba huku U.N. wanalipwa kulinda madini ya beberu. Au wasubiri hadi wamalizie waondoke wenyewe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…