WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
Republican ndiyo ccm au hujui maana ya republican?tundulisu si ndi yule baba aliepokea tuzo ya thatcher na bush, yule conservative
hivi nyie chadema mnajua siasa za conservative movement?!
jamani muwe mnatumia google
ni siasa za kibaguzi, na kinyonyaji: fuatilia siasa za republican party na conservative paty cha UK ujue
hao ndo rafiki wa tundulisu
yani CHADEMA bwana.. hahaha
Ngano ikipanda wanaofaidika ni watanzania wakulima wa ngano huko Kateshi, pia mafuta yakipanda wanafaidika wakulima wa alizeti huko Singida, kwa hiyo hili swala linafaida kubwa sana kwa wakulima na pia ni fursa.Sawa lakini ngano 32000 mafuta 82000
Sio vipaumbele vya taifa kwa sasaTatizo lipo wapi, si waTanzania wote au tatizo lipo wapi!!!
miundombinu ni miundombinu; kikubwa mtanzania anufaike issue iko wapi
utasema wanadai visa kwenda eneo fulani la Tanzania
Maamuzi ya kuwekeza kwa serikali yanatoa kipaumbeleOooh! Kumbe huna logic unaongozwa na hisia!?
Kitu chochote inachofanya serikali lazima kiwe kina manufaa kiuchumi
Na hiyo ndio logic inaongoza serikali yoyote duniani
Sasa km mnawekeza chato kwa sababu Tu! Mnataka iendelee km dar bila kuangalia factors nyingine za uchumi, kwa vyovyote vile hyo itakuwa ni wrong strategy
Kinyonge SanaSawa lakini ngano 32000 mafuta 82000
Mjadala huu kusema ukweli hauna tija ingawaje unaakisi matamanio ya wananchi ya kupata maendeleo kila eneo la nchi. Hii ni nzuri ila ni vibaya kubagua eneo analotokea Rais lisipate maendeleo. Kwangu mimi maendeleo ya Chato yatakuwa na athari chanya jiji la Mwanza vitabebana km ilivyo kwa shinyanga,Musoma,Kahama, Geita.vivyo hivyo kwa Chato na Mwanza kuna spillover effects to each other. Hii miji inategemeana sana kijamii na kiuchumi. Tusiwe na wasiwasi.sio eneo langu: mi nimejibu hoja: sio lazima uwe na eneo moja tu lenye maendeleo
Pamoja na kwamba anaweza kuwa na madhaifu yake, hayo ni ya kawaida kwa KILA BINADAMU; hata mimi namwaminia, kumpenda, na kumuunga mkono Rais wangu Dr. John Joseph Pombe MagufuliRais John Pombe Joseph Magufuli
Rais mzalendo asiyeyumbishwa na mabeberu wala vibaraka wao
Si lazima kula chakula cha mchana Leo kwani na kwa jirani huwa hawali kifungua kinywa na chakula cha mchana. Alisikika mzee 1 akiiambia familia yake.Na asilimia 14.7 ya Wamarekani hawana kazi, waliobakia wa deal na gig economy
Maisha ni magumu kila pande: kikubwa na kujaribu kutatua matatizo kwa sera zenye manufaa ya mda mrefu.
Serikali ya Mh. Magufuli imelenga ku-invest kwenye viwanda, na usafilishaji (bara bara): hopefully itazaa matunda
CHADEMA mnapingakilakituAlishakataa
Kuna vitu vingi....hiyo commecial capital inachaguliwaje? kama sio investment ya wakoloni ilisukuma watu kuchukulia kama capital.
2. Kwani Mh. Magufuli anamiliki Chato? Kwani Chato hakuna waTanzania?
SHETANI ndiye mwenye wafuasi wengi zaidi ulimwenguni....!Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince.
Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini.
Kwani ni lengo lao kuona nchi inaendeshwa kama "bussiness as usual": tupe madini, ardhi, na control sisi tutakupa mikopo ili tukudai na mwishowe tuku-control.
Struggle ya kuondoa nchi katika mtego huo ndo chanzo cha malalamiko ya aina yoyote kupewa sauti:
Leo, wameanza kulalamika kuhusu Rais Magufuli kuwekeza Chato ambayo ipo Tanzania na wanaoishi ni waTanzania na pia auhitaji visa kuamia.
Miaka yote ambapo Dar es salaam, ambao sio mji mkuu, imekuwa ikipata priority kwenye investment hakuna aliekuwa akilalamika; ila leo imekuwa tatizo kwa Chato.
Uvivu wa critics inabidi uwe exposed kwani unaharibu credibility ya argument zao
Mh. Magufuli ni Force muhimu katika hii nchi: we need change and he is the change!
HYaani Hisha hata mimi sijawa convinced at all. Kuna system inatoa pesa kuzima legacy yake hata kwa Ml. Nyerere ilikuwa hivyo ilishindikana watashindwa sisis wachache tuliobaki tuonyesha yote aliyofanya kwa sasa yasije danfiwa na wen=gine!Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince.
Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini.
Kwani ni lengo lao kuona nchi inaendeshwa kama "bussiness as usual": tupe madini, ardhi, na control sisi tutakupa mikopo ili tukudai na mwishowe tuku-control.
Struggle ya kuondoa nchi katika mtego huo ndo chanzo cha malalamiko ya aina yoyote kupewa sauti:
Leo, wameanza kulalamika kuhusu Rais Magufuli kuwekeza Chato ambayo ipo Tanzania na wanaoishi ni waTanzania na pia auhitaji visa kuamia.
Miaka yote ambapo Dar es salaam, ambao sio mji mkuu, imekuwa ikipata priority kwenye investment hakuna aliekuwa akilalamika; ila leo imekuwa tatizo kwa Chato.
Uvivu wa critics inabidi uwe exposed kwani unaharibu credibility ya argument zao
Mh. Magufuli ni Force muhimu katika hii nchi: we need change and he is the change!
SHETANI ndiye mwenye wafuasi wengi zaidi ulimwenguni....!
Acha uongo maendeleo yamesambaa nchi zima! Eti Africa. Dah unaweza kumlinganisha Hayati JPM na nani kwa mfano ni mlima na vichuguu! Wao wenyewe walimkubalki sasa wewe ni nani uwasemee hao marais!Nepotism ndyo inayotukwamisha bara la Africa kupiga hatua...
Halafu mpuuzi km wewe unatetea huo upumbavu!
Miradi ya zaidi ya 1 trillion kijijini kwake raisi,... huku maeneo mengineyo hta maji hayana halafu unaona Sawa Tu!
Magufuli anaishi na kazi zake zitaishi daimaNimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince.
Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini.
Kwani ni lengo lao kuona nchi inaendeshwa kama "bussiness as usual": tupe madini, ardhi, na control sisi tutakupa mikopo ili tukudai na mwishowe tuku-control.
Struggle ya kuondoa nchi katika mtego huo ndo chanzo cha malalamiko ya aina yoyote kupewa sauti:
Leo, wameanza kulalamika kuhusu Rais Magufuli kuwekeza Chato ambayo ipo Tanzania na wanaoishi ni waTanzania na pia auhitaji visa kuamia.
Miaka yote ambapo Dar es salaam, ambao sio mji mkuu, imekuwa ikipata priority kwenye investment hakuna aliekuwa akilalamika; ila leo imekuwa tatizo kwa Chato.
Uvivu wa critics inabidi uwe exposed kwani unaharibu credibility ya argument zao
Mh. Magufuli ni Force muhimu katika hii nchi: we need change and he is the change!
Enzi za zamani wako watumwa walijitolea kuzikwa na wafalme .Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince.