mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Wasaliti wako kila sektaSababu zangu kubwa za kutokuunga mkono huu mgomo wa wafanyabiashara ni nyingi, ila nitataja chache tu
1-sie tumepigwa faini sana na hakuwepo wa kututetea, leo wamebanwa wakubwa huko wanataka support yetu, si sahihi
2-hivi kuna kipindi wafanyabiashara waliteseka kama awamu iliyopita? Mbona hatukusikia mgomo wala maandamano? Nahisi dini au siasa inatumika hapa
3-kwanini zisifanyike juhudi za maongezi kwanza?
4-Sie wengine hata hicho chama cha wafanyabiashara hatujui hata ofisi zao zikwapi
Ushauri
Wafanyabiashara tulipe kodi kwa maendeleo ya inchi yetu
Angalizo
Kwa kuwa nitakuwa nimefungua biashara yangu basi mkinitumia wahuni kunifanyia fujo mjue japo mmoja nitakufa nae
Usiku mwema
Nitafungua na hakuna wa kunigusa, ni lazima nife na mmoja waoNiko nimekaa pale ukifungua duka utakiona cha mtemakuni.
Ningekua chinga ningeunga mkono vurugu zenu mlizopangaBiashara yenyewe unayo lakini isije kuwa mkwara mbuzi tu kumbe chinga mmoja tu biashara haijai begi
Mie si msaliti, ni mfanyabiashara ninayejitambua
Sahihi kabisa, tukibanwa sie wao hata habari hawana, sasa wamebwanwa wao wanatafuta support kwetu wadogo, tumeshtuka hatudanganyiki, lipeni kodi kwa maendeleo ya inchiUkigoma utakosa hela mzee fungua duka lako
Iko chama special kwa wafanya biashara wakubwa kama wakina mo ndio wanakutana lakini sio ninyi wa wakujikongoja
Umenena vyema sanaNakupongeza kwa uamuzi bora na sahihi, usifuate mkumbo utakaokutesa na likitokea la kutokea asiwepo wa kukusaidia wala kukutetea. Tanzania fanya kila kitu kwa akili, hakuna wa kukusaidia wakati wa shida na utaonekana mjinga wakati huo
No, mie ni mfanyabiashara biashara hiyo tiss hata sijui kwanza ni kitu gani, kama ni matusi basi mwenyeweHuyu sio mfanyabiashara! Atakuwa ni TISS anajarbu kumoderate jambo humu😂😂
Anyways, sijaona tangazo wala habari ya huu mgomo, anyone anaweza nipa briefing.
Kuna wakubwa huko biasharani yamewakuta, sasa wanatingisha kibiriti,kodi ni lazima ilipwe, wametuma sana ujumbe kupitia whatsapp wakisisitiza mgomo na maandamano KeshoMbona sijaskia hizi