mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
- Thread starter
- #21
Sasa na nyie si mnanunua kwao?wakigoma wenye maduka sisi wa machinga tuendelee kuuza kama kawaida tutumie fursa maana wakati sisi tunalia wao walichelewa kulia kupokezana
Au mnachukulia store?