Mimi sigomi, siandamani, na nitafungua biashara yangu kama kawaida hiyo tarehe 15/5/2023

Kuna wakubwa huko biasharani yamewakuta, sasa wanatingisha kibiriti,kodi ni lazima ilipwe, wametuma sana ujumbe kupitia whatsapp wakisisitiza mgomo na maandamano Kesho
wamebanwa nini? au suala la uchafuzi wa mazingira ''kelele kwen yae baa''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…