Mimi Simba, ila jezi zetu ni kichekesho ni mbaya sana

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam Wana JF,

Japo Mimi sio mzee wa kuleta threads humu jf Kama ndugu yangu @mpyayungu village, ila suala la jezi ya Simba limenichukiza Sana.

Jezi Kama batiki
Ukiangalia kwa mbali kwa hizi jezi zetu kolo fc ...unaweza sema ni batiki lakini ukisogea karibu ni batiki kweli hii ni aibu

Jezi Kama vikapu vya wamama
Mpangilio wa rangi ( color layouts) Ni wazi kwamba designer amekopi rangi za vikapu vya wamama .....hizi ni hujuma

Jezi ni za wanawake
Kutokana na jezi zetu kuwa na rangi rangi zisizo za msingi ( kinyonga) hii ni wazi kuwa jezi zimekuwa designed only for wanawake. Since biologically, socially, wanaume hatupendi vitu vyenye rangi rangi....
So Kama mwanaume ukivaa jezi hizi ntakushangaa Sana

Jezi Ina mistari ya contour[emoji23][emoji23]
Hapa designer alitaka kuonyesha alikuwa kipanga wa GEOGRAPHY

Je, nini kifanyike ili kukwepa aibu ya jezi zetu......by prof. mchambuzi

 
 
Eti "Mimi Simba" hata saikolojia ya uandishi hujui
 
Tangia lini umekuwa SIMBA wewe?
 
Juzi morrison aliongezea pale walipoishia yule kocha luc pamoja na el buggati manara kuwa pale yanga akili wanazo wawili tu mzee sunday na mzee jk.
Mkuu, mbona upo nje ya mada......ngoja tuwape ushauri ndugu zetu KOLO
 
Yanga mnahangaika wakati nyie za kwenu ndio mbaya zaidi mnasubiriwa huko na vipers muwasindikize.
Mkuu...tunaongelea Simba.....haya yanga yanatokea wapi Tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…