Mimi Simba, ila jezi zetu ni kichekesho ni mbaya sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jezi zetu ziko vyedi mnoooooo. Wivu ni kidondaaa.
 
Naona umeandika kwa uchungu Sana huku kinyesi kinagonga kyupi, machozi yanabubujika, kamasi zinatiririka puani, huku moyo unadunda kwa kasi sababu ya uzuri wa jezi ya simba.



Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ile ya mauwa mauwa ningewashauri wavae wanawake tu, kwa wanaume ni aibu mno, ni fezeha aise

Kwa upande wa yanga, ni ile nyeusi naikubali.
Kabisa mkuu.....kinachonisikitisha hata yule model alievaa amekaa kike kike
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] product ya Mzumbe, afu Campus ya Mbeya.

Uwiiiiiiiiiih
Bora hata umekuja kunipa support.....najua hata wewe hiz jezi zimekukela[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jezi zetu ziko vyedi mnoooooo. Wivu ni kidondaaa.
Assume umevaa hii jersey ......alafu uwe mweusi Kama mimi
Expectations za watu zitakuwa

a) fundi rangi
b) mganga wa jadi
c) kigagula ( kibwengo)[emoji23][emoji23][emoji23]

......kwa hizi jezi hapanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…