Mimi sio kungwi ila ni mwanamke, ichukue hii

Mimi sio kungwi ila ni mwanamke, ichukue hii

Nimezaliwa Makete, Mwakauta. Nikaishi Zambia, Njombe, Makambako, Mafinga.

Nimeishi Mwananyamala, Temeke, Kigamboni, Kawe, Makumbusho, Tegeta, Masasi, Dodoma, Korogwe na sasa nipo Kondoa.

Na sijawahi kukutana na pattern ya OP.
Umeishi sehemu nyingi Sana mkuu, ndomana unaongea mambo mengi Sana bila kujua tukujibu nini?
 
Nimezaliwa Makete, Mwakauta. Nikaishi Zambia, Njombe, Makambako, Mafinga.

Nimeishi Mwananyamala, Temeke, Kigamboni, Kawe, Makumbusho, Tegeta, Masasi, Dodoma, Korogwe na sasa nipo Kondoa.

Na sijawahi kukutana na pattern ya OP.

Kwahiyo mzee unaijua vizuri mitaa ya amani,luvanyina,namanga,utege,megeo,ilolo,utanziwa etc

[emoji28][emoji28]
 
Hebu ifike pahala wanaume mtoke huko kwenye hizo fantasies mje kwenye reality things are different on terra firma acheni hizi propaganda zenu zimeshapitwa na wakati, kutwa tunashuhudia ndoa zinafungwa na hao wanawake wanaoolewa wala siyo mabikira bali ni hao hao malaya wastaafu mnaoshinda mkiwatukana humu, mnapoweka vigezo hakikisheni vinaendana na uhalisia ifike mahali mkubali tu kuwa wanawake wenye vigezo mnavyovitaka hawapo tena mkiambiwa nanyi mjitunze mnasema hilo ni jukumu la wanawake halafu ukifika muda mnataka kuoa mnaanza kulialia hakuna wanawake wa kuoa..pathetic!!
Hayo maneno unatuambia sisi au mwanamke mwenzako aliyeleta uzi!? Una tatizo la kutojiamini.
 
Nimeshangaa imetoka kwa mwanamke, kutafuta cheap popularity

Hebu ifike pahala wanaume mtoke huko kwenye hizo fantasies mje kwenye reality things are different on terra firma acheni hizi propaganda zenu zimeshapitwa na wakati, kutwa tunashuhudia ndoa zinafungwa na hao wanawake wanaoolewa wala siyo mabikira bali ni hao hao malaya wastaafu mnaoshinda mkiwatukana humu, mnapoweka vigezo hakikisheni vinaendana na uhalisia ifike mahali mkubali tu kuwa wanawake wenye vigezo mnavyovitaka hawapo tena mkiambiwa nanyi mjitunze mnasema hilo ni jukumu la wanawake halafu ukifika muda mnataka kuoa mnaanza kulialia hakuna wanawake wa kuoa..pathetic!!
Kitu nimegundua katika maisha ya sasa. Mwanamke Innocent au bikra zaidi ya miaka 28 ni ngumu kupata mchumba na hao mnaita malaya kwa vile wana uzoefu wa jinsi ya kuwakamata vijana ambao ni Innocent - wanaolewa chap chap. Ndiyo maana kijana akiangukia single mother hachomoki.

Nina mifano miwili ya wanangu, mmoja nilikosea na akaanza haya masuala mapema, akawa chakalamu, mpaka nikamtimua kwangu, hata digrii ya kwanza hana ila ameolewa na mtoto juu.

Kuna wa pili ambaye wote wanalingana, huyu nilijisahihisha nikambana kama mzazi mpaka akamaliza masters, PhD akakataa ati umri umeenda atasoma badaye. Mpaka sasa sijawahi kusikia kuwa ana mchumba. Ni feminist wa kutupwa na kanisani kwa sana kama mtoa mada alivyosema. Kazi kweli kweli maana miaka inasogea (35yrs) na kila wakati akinipigia simu natamani anieleze kuwa nimepata mchumba, lakini hola.

Kusema za ukweli, hivi vitu havina fomula!
 
Back
Top Bottom