Mimi sio mchoyo wa mawazo njoo uchukue na hili

Mimi sio mchoyo wa mawazo njoo uchukue na hili

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
529
Reaction score
483
Habari wakuu

Leo nimepata wazo nikaona sio mbaya kama na nyie mkalipata nilifikilia huyu alie kuja na sukari ya kufunga kwe pakiti sana zipo kwenye maduka makubwa zinaitwa bwana sukari.

Wazo langu liko hivi.

Kufungua kiwanda ambacho kitajumuisha wapembuaji, wapakiaji na wafungaji.

Unanunua mchele grade a unapembuliwa vizuri kisha unapakiwa katika ujazo wa robo nusu na kilo 1 kisha unafungwa vizuri.

Hapo utakuwa umesaidia jamii maana mchele wako utakuwa hauna mawe wala chuya kwani utakuwa umesha pembuliwa vizuri.

Pia utauza bei nzuri kwani mchele wako utakuwa umesha pembuliwa na hauna chenga wala chuya wala mawe.

Karibuni wadau nimeona nisiwe mchoyo
 
ni wazo zuri sana mkuu. mimi pia nimefikiria na nina plan ya kuanza hiko kitu kuanzia Julai mwaka huu kama mambo yataenda vizuri.

Binafsi sio kwa level ya kiwanda kama wewe ila nilipanga nanunua mchele naweka katika mifuko yenye label yangu kwa uzito wa 0.5kg, 1kg na 5kg. Baada ya hapo naanza kusambaza madukan na sokoni kwa bei ya jumla jumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaji unahitajika kwanza upate hiyo mashine yakupembua mawe Hili ni wazo tayari wakina mo watakuwa wamesha liiba

Jamani muwe mnatembea..mbona sio wazo geni hilo??mbona watu kibao wanafanya hizo mambo?haahaha sijaona ugeni hapa...!na ukijimix ukauzia uswaz utakula mwenyewe..iswaz wanataka kushika wenyewe..na hawaamini km umepimwa sawa sawa😅..kwan supermkt ile michele inakuagaje😊
 
Hili wazo tayari wakina mo watakuwa wamesha liiba
Jamani muwe mnatembea..mbona sio wazo geni hilo??mbona watu kibao wanafanya hizo mambo?haahaha sijaona ugeni hapa...!na ukijimix ukauzia uswaz utakula mwenyewe..iswaz wanataka kushika wenyewe..na hawaamini km umepimwa sawa sawa😅..kwan supermkt ile michele inakuagaje😊
Kikubwa promotion ya brand yako na ubora wa bidhaa yako ukipata ule mchele wa kyela ulionyooka soko lipo sikujua kama kuna watu wanafanya sababu wanapeleka supermarket baada ya maduka ya jumla
 
Wengi si wangejulikana awafati misingi ya biashara ndo mana wanashindwa kujitangaza ata wewe pia inawezekana unafanya hii biashara mana naona umekuja kukatisha tamaa wazo la mdau huyo

Hahahabasi tuseme wazo umeliibua wewe mkuu!mie sijakatisha tamaa mtu...!ukinisoma fresh nimealert tu..!bas kauzie uswahilini utatuleteaga mrejesho!mie sina biashara ni mama wa nyumban nalea watoto
 
Hahahabasi tuseme wazo umeliibua wewe mkuu!mie sijakatisha tamaa mtu...!ukinisoma fresh nimealert tu..!bas kauzie uswahilini utatuleteaga mrejesho!mie sina biashara ni mama wa nyumban nalea watoto
Kumbe ni mama wa nyumba sawa
lakini watu kama nyinyi wapo wengi wakisikia wazo cha kwanza wanachowaza kutoa changamoto tu za wazo lako
 
Wabongo hatuna utamaduni wa kununua packaged food,ungesema labda upack halafu uexport kwenda mfano kenya sawa,ila kwa hapa utauza labda mifuko 50 ya kilo mbili,na bidhaa itakudodea tu,watu wanataka mchele waushike kwa mikono kujiridhisha kuwa haujavunjika na hautoki pakstani,
haakubali kununua mbuzi ndani ya gunia,
kuna mtu alipack hivyo huko kusini,lakini naona haijamlipa yuko kimyaaaa
 
Hahaah watu bana!! Yaan jamaa hataki kupewa changamoto ata kidogo anataka tu[ige makofi kama tupo mtaani kwetu Lumumbah.. Ukiona mtu anayeona changamoto kwenye wazo lako inabidi utulie na ujibu vizuri sababu kama wewe umefikia hatua ya kulileta hapa ni kwamba umeshajiuliza haya yote na majibu uko nayo. kwahyo unatakiwa kuteleza tu kama unasoma Mathew 7.7
 
😂😂😂
 
Wabongo hatuna utamaduni wa kununua packaged food,ungesema labda upack halafu uexport kwenda mfano kenya sawa,ila kwa hapa utauza labda mifuko 50 ya kilo mbili,na bidhaa itakudodea tu,watu wanataka mchele waushike kwa mikono kujiridhisha kuwa haujavunjika na hautoki pakstani,
haakubali kununua mbuzi ndani ya gunia,
kuna mtu alipack hivyo huko kusini,lakini naona haijamlipa yuko kimyaaaa
Nazani sikwamba hatuna utamaduni wakununua vyakula vilivyo kuwa packed ilaa ni kwamba the level of social development ndani ya nchi ni ndogo sana laiti kama tutaweza kujikwamua kutoka kweny level ya uchumi tuliopo kama mpango wa serikali ulivyoo basi jua tutakuwa pia na social development/welfare ambo ndipo utapoona watu wanaprefer safety and healthier product kama izoo ni sawa leo watu wengi wanalalamika kuhusu kilimo cha maind kutokuwa na faida yote io nazani ni kwasababu ya unga packed watu wengi leo ii wanatumia unga kama uo soo musishangae itakapo kuja time mchele pia utakuwa ivyo ivyo kwa mfano unaambia in the continent ambapo once lilikuwa halitamaniki which is Africa ofcoz, out of every three people ina Africa one is in middle class pia for top ten countries zinazo kuwa kwa kasi kiuchumi duniani 4 to 6 of them there in Africa (opportunity just knocking out of your door)
 
Back
Top Bottom