Habari wakuu
Leo nimepata wazo nikaona sio mbaya kama na nyie mkalipata nilifikilia huyu alie kuja na sukari ya kufunga kwe pakiti sana zipo kwenye maduka makubwa zinaitwa bwana sukari.
Wazo langu liko hivi.
Kufungua kiwanda ambacho kitajumuisha wapembuaji, wapakiaji na wafungaji.
Unanunua mchele grade a unapembuliwa vizuri kisha unapakiwa katika ujazo wa robo nusu na kilo 1 kisha unafungwa vizuri.
Hapo utakuwa umesaidia jamii maana mchele wako utakuwa hauna mawe wala chuya kwani utakuwa umesha pembuliwa vizuri.
Pia utauza bei nzuri kwani mchele wako utakuwa umesha pembuliwa na hauna chenga wala chuya wala mawe.
Karibuni wadau nimeona nisiwe mchoyo