Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Kuna wakati nilihisi tumelaanika, kuna wakati nilihisi ndivyo tulivyopangiwa kuwa.
Kuna wakati nilihisi mafanikio tunayoyasaka ni mipangilio ya mzungu alioleta labda hii ligi sio yetu kwa maana asili yetu ilikuwa ni bush kufanya hunting and gathering.
Lakini i was wrong,
Sio kwamba sisi ni wapumbavu sana kiasili na kibaolojia akili mwetu ila nimegundua akili unayoiendekeza ndivyo inavyojijenga kupelekea kutengeneza mfumo wa fikra na uwezo wa kufanya reasoning.
1: Tuna hurka ya kupenda na kutarajia vitu vinavyofikirika zaidi. Leo hii mtu anaenda kwa mganga na milioni 20 eti mganga aifanyie miujiza, kinachofatia ni mganga kumuua na kuichukua hio pesa.
2: Mipangilio yetu sio ya kuendana na wakati bali ya kupaendeleza comfort zone yetu. Kwa kila nyezo mzungu alioivumbua ilikuwa ni kwa ajili kuzalisha zaidi ya alivyozalisha mwaka jana
3: Kuenzi na kuzunguka katika mduara wa jadi uliozoeleka kupelekea kukosa muda wa explore dunia mpya. Kilichomfanya mzungu aimalike zaidi ni kutokana na kiu ya kutaka kujua pembe za dunia na alivyoenda huko hakurudi mtupu.
4: Ukuu wetu sio generational bali ni egoistic. Mali ya baba inabaki ya baba siku akifanya mnajikuta mko watoto 30 kinachofata nikugombania.
5: Uchawi na Ushirikina. Asili ya uchawi ni kubomoa. Mzungu aliupiga chini karne kadhaa zilizopita ila mwafrika ndio anazidi kuuboresha.
6: Mahesabu ya faida ya mafanikio kwa mwafrika ni vitu, vitu na vitu ila mzungu ni knowledge, akiba na kubuni kingine cha kuboresha zaidi. Kipindi mwafrika anatuma watoto wake waende kuiba ng'ombe katika jamii nyingine bila ya kujali watakufa huko, mzungu yeye alikuwa anabuni kitu ambacho kitaweza kumfanya azione nyota kwa ukaribu.
SIO MBAYA MKAONGEZEA POINTS NYINGINE.