Mimi sio mtoto wa kufikia. (Tafakuri)

Mimi sio mtoto wa kufikia. (Tafakuri)

kila mmoja ana direct acces kwa Mungu. Kwanini usomewe Biblia, kwanini Uombewe? Mungu anataman kusikia sauti ya mwanae mpendwa ikisema naye, wewe unaenda kusemewa na mchungaji, Mungu anajiuliza kati ya mchungaji na mimi nani mwenye shida?

Mungu hajafunuliwa tu kwenye maandiko hata kupitia nature unaweza kumuina Mungu.

zaka/sadaka uko utaratibu usitoe kiasi cha kuumia bali kwa kadri ya upendo na moyo mkunjufu, sio lazima ila tu kwa kupenda.

Kando ya sadaka na zaka ila mkono unaotoa ndio unaopokea hii ni kanuni yamilele.
 
Sasa tunafanyaje huku jokajeusi ndo hivyo alishahasi na ndie kinara msuka mipango ya matatizo yote dunian. Tuendelee kumlilia Mungu wakati watu walishakataa Nuru yake na wakaamua kufuata giza la joka jeusi?
Baba yangu ndiye aliyemuumba Joka Jeusi la kale na kumpa kusudi la kuwa muasi. Bila Baba yangu hakikufanyika chochote(kiwe kizuri au kibaya) Baba yangu ndiye kila kitu yaani ubaya na wema ndio yeye. Kupewa uhusika wa ubaya au wema ni kusudi tuu lililopo katika mipango yake.

Vitu vyote vinatoka kwake. Hata huyo shetani ni asili ya Baba yangu.
 
Thibitisha yupo na si stories tu.

Maana inawezekana unakataa uongo wa Mungu wa Ibrahimu, na kukubali uongo mwingine

Unajuaje unachoamini si uongo?

Yupo Mkuu, uwepo wetu na kutokuwepo kwetu ni ishara ya uwepo wako.
Mungu hawethibitishwa kwa mdomo, macho, na aina nyinginezo za milango ya fahamu kwa wanadamu wa leo. But ukweli ni kuwa Mungu yupo, kukataa uwepo wake ni dalili ya upumbavu uliokomaa
 
kila mmoja ana direct acces kwa Mungu. Kwanini usomewe Biblia, kwanini Uombewe? Mungu anataman kusikia sauti ya mwanae mpendwa ikisema naye, wewe unaenda kusemewa na mchungaji, Mungu anajiuliza kati ya mchungaji na mimi nani mwenye shida?

Mungu hajafunuliwa tu kwenye maandiko hata kupitia nature unaweza kumuina Mungu.

zaka/sadaka uko utaratibu usitoe kiasi cha kuumia bali kwa kadri ya upendo na moyo mkunjufu, sio lazima ila tu kwa kupenda.

Kando ya sadaka na zaka ila mkono unaotoa ndio unaopokea hii ni kanuni yamilele.

Ndio hivyo Mkuu
 
Ukishaelewa habari ya jumla kwamba baba Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezowote na upendo wote) kuwepo ni uzushi tu, hizi stories nyingine za rejareja hazitakusumbua.
kiranga umeshakatazwakuja na jibu hili hapa.
 
Sasa tunafanyaje huku jokajeusi ndo hivyo alishahasi na ndie kinara msuka mipango ya matatizo yote dunian. Tuendelee kumlilia Mungu wakati watu walishakataa Nuru yake na wakaamua kufuata giza la joka jeusi?

Nani alimkataa Mungu Mkuu, waliomkataa Mungu ni wale walioona dalili za utapeli kwa watu wenye kumuelezea.

Nikuulize swali moja,
Je simba kuwa mkali ni dhambi?
Moto kuunguza ni dhambi?
Nyoka kung'ata ni dhambi?
Kila kiumbe kimepewa uhusika wake ili kukitofautisha na kiumbe kingine. Ikiwa kuna viumbe kama nzi wapendao uchafu kama kinyesi je hiyo ni dhambi? Itakuwa ni dhambi endapo nzi atapenda usafi.

Shetani kapewa uwezo wa kutenda uovu na ndio nature yake. Tatizo linakuja kwako/ kwangu ambapo si nature yetu kutenda uasi. na ndipo shida inapoanzia.

Sijui kama umenielewa. Mungu ndio aliyepanga yote
 
Hata kusingekuwa na Biblia au Quran mtu mwenye akili asingekosa kujua kuwa Yupo Baba. Nenda kwenye jamii zisizotambua dini za watu weupe wao pia huamini Baba yupo. Hivyo madai ya kusema wao ndio wameleta hiyo dhana ni butu na hayana mashiko.

Siwezi dhani Baba yangu siye wakati mimi ndiye, uwepo wangu ni uthibitisho tosha kuwa Yupo Baba yangu.
Nawapinga kwa kunifanya mtoto wa kufikia kiasi kuwa sina uhuru wa kumfikia Baba yangu bila wao jambo ambalo hufanya na watoto wa kufikia
Hizo jamii unazosema nazo si kwamba kila mtu anaamini kivyake afikiriavyo bali kuna maelezo na taratibu ambazo huzifuata na kuna waanzishaji wake,hivyo vile hao waanzishaji walivyomfikiria huyo Baba kwa waonavyo wao na kubuni taratibu za kumfikia huyo Baba ndio hizo jamii hufuata hivyo hivyo na si kinyume na hivyo.

Sasa wewe unayeona kwamba akili tu inatosha,unaweza kutuambia kwanini akili yako ikuambie kuwa kuna baba mmoja wa watoto wote na isiwe baba ako wewe na baba angu mie ni tofauti yani kwamba kila mtu unaemuona ana baba ake?

Na ikiwa kwa kutumia akili unawezakujua kuhusu huyo Baba ako sasa iweje ulalamikie hao watu ambao hawakufungi minyororo kuzuia kwenda au kuwasiliana na Baba ako ikiwa unamjua huyo Baba ako na njia ya kuwasiliana nae?
 
Hizo jamii unazosema nazo si kwamba kila mtu anaamini kivyake afikiriavyo bali kuna maelezo na taratibu ambazo huzifuata na kuna waanzishaji wake,hivyo vile hao waanzishaji walivyomfikiria huyo Baba kwa waonavyo wao na kubuni taratibu za kumfikia huyo Baba ndio hizo jamii hufuata hivyo hivyo na si kinyume na hivyo.

Sasa wewe unayeona kwamba akili tu inatosha,unaweza kutuambia kwanini akili yako ikuambie kuwa kuna baba mmoja wa watoto wote na isiwe baba ako wewe na baba angu mie ni tofauti yani kwamba kila mtu anaemuona ana baba ake?

Baba yangu anaweza kuwa tofauti na wako mkuu. Ila wa kwangu ndio chanzo cha wote
 
Kwa sababu hunifanya kama mwanaye na si mtoto wa kufikia
Tatizo sio kuwa mtoto wa aina gani bali unalelea kwa aina gani? Maana kuna watu wamelelewa kwa manyanyaso na wazazi wao kabisa wa kuwazaa.

Nimekuuliza umejuaje kuwa huyo Baba ako ndio Baba wa wote na sio kwamba kila mtu ana baba yake?
 
Nimejua kwa sababu yeye ndiye chanzo cha vyote
 
Yupo Mkuu, uwepo wetu na kutokuwepo kwetu ni ishara ya uwepo wako.
Mungu hawethibitishwa kwa mdomo, macho, na aina nyinginezo za milango ya fahamu kwa wanadamu wa leo. But ukweli ni kuwa Mungu yupo, kukataa uwepo wake ni dalili ya upumbavu uliokomaa
Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha.
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha.
Tutajuaje kuwa hawezi kuthibitisha kwa sababu hayupo na sio kwamba pengine yupo ila hawezi tu kuthibitisha?
 
Tutajuaje kuwa hawezi kuthibitisha kwa sababu hayupo na sio kwamba pengine yupo ila hawezi tu kuthibitisha?
Kwa sababu suala la kutokuwepo Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote), halitegemei uwezo wake Jokajeusi kuthibitisha.

Linathibitishwa kimantiki na contradiction ya "the problem of evil".
 
Back
Top Bottom