Internal
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 3,579
- 3,919
kila mmoja ana direct acces kwa Mungu. Kwanini usomewe Biblia, kwanini Uombewe? Mungu anataman kusikia sauti ya mwanae mpendwa ikisema naye, wewe unaenda kusemewa na mchungaji, Mungu anajiuliza kati ya mchungaji na mimi nani mwenye shida?
Mungu hajafunuliwa tu kwenye maandiko hata kupitia nature unaweza kumuina Mungu.
zaka/sadaka uko utaratibu usitoe kiasi cha kuumia bali kwa kadri ya upendo na moyo mkunjufu, sio lazima ila tu kwa kupenda.
Kando ya sadaka na zaka ila mkono unaotoa ndio unaopokea hii ni kanuni yamilele.