mmash
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 832
- 1,237
Dooh....salaaaala!!11.nasema nawe
12.mdogomdogo
13.nana
14.utanipenda?
15.SALOME
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dooh....salaaaala!!11.nasema nawe
12.mdogomdogo
13.nana
14.utanipenda?
15.SALOME
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nilimshauri kina agombee categories ya amonise ili ashinde akagoma akasena anataka ile categories ya mondi kangukia na kitu chenye ncha Kali kichwani kakosa hata tuzo
moyo wangu na mawazo pia ni ngoma kali za bin ladenNakshi nakshi na chekecha ni nyimbo nzuri za ally
sio fan wa kiba wala mondi ila ngoma ya "sikuoni" ya alikiba ntaiskiza hadi nadedi
Leo asubuh nilikuwa naisikiliza hiyo ngoma..kuna dogo nikamwambia hii ngoma haichuji miaka na miaka naisikiliza"Ukizungumzia mapenzi alright....unazungumzis shetani wa mahaba" hatari sana hiyo ngoma. The guy is so talented!
..asiyependa kumuona Alikiba akiwa na ww milele mpaka kufa.."Ukizungumzia mapenzi alright....unazungumzis shetani wa mahaba" hatari sana hiyo ngoma. The guy is so talented!
"Ukizungumzia mapenzi alright....unazungumzis shetani wa mahaba" hatari sana hiyo ngoma. The guy is so talented!
..asiyependa kumuona Alikiba akiwa na ww milele mpaka kufa..
Lakini sikuoni mi nakutafuta mji mzima
Nakutafuta hewanii nikipiga simu yako unazima...
HahaahahahahaaaaaaaMimi co WCB ila
1. Kamwambie
2.Mbagala
3.Ukimwona
4. Nitarejea
5.Ntampata wapi
6.Number 1
7.lala salama
Nitazisikiliza mpaka yani basi
Hapo kwenye "la muja de mi vidaa" nasikia kama harufu ya profesa patrice lumumba akitema cheche zake za kigoda ndani ya nkrumah hallKuna mahali anaimba...
we ni kila kituu...la muja de mi vidaa...
Anasemaga hizo ndo silaha zake!!
Heheh ungejua me Team mondimoyo wangu na mawazo pia ni ngoma kali za bin laden
How comes niliisahau hyo ngoma"Ukizungumzia mapenzi alright....unazungumzis shetani wa mahaba" hatari sana hiyo ngoma. The guy is so talented!
[emoji121]Mimi co WCB ila
1. Kamwambie
2.Mbagala
3.Ukimwona
4. Nitarejea
5.Ntampata wapi
6.Number 1
7.lala salama
Nitazisikiliza mpaka yani basi
Hawajamshusha stejini?au hajapanda kabisa.Nilimshauri kina agombee categories ya amonise ili ashinde akagoma akasena anataka ile categories ya mondi kangukia na kitu chenye ncha Kali kichwani kakosa hata tuzo
Ndio maana mwenzenu anakosa tuzo.Nyie mnashabikia ngoma za kale wakati tuzo ni za sasa!Hamna msaada kwake ninyi.Leo asubuh nilikuwa naisikiliza hiyo ngoma..kuna dogo nikamwambia hii ngoma haichuji miaka na miaka naisikiliza