Mimi sio team kiba ila..........

Mimi sio team kiba ila..........

sio fan wa kiba wala mondi ila ngoma ya "sikuoni" ya alikiba ntaiskiza hadi nadedi
 
Nilimshauri kina agombee categories ya amonise ili ashinde akagoma akasena anataka ile categories ya mondi kangukia na kitu chenye ncha Kali kichwani kakosa hata tuzo
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
"Ukizungumzia mapenzi alright....unazungumzis shetani wa mahaba" hatari sana hiyo ngoma. The guy is so talented!
Leo asubuh nilikuwa naisikiliza hiyo ngoma..kuna dogo nikamwambia hii ngoma haichuji miaka na miaka naisikiliza
 
"Ukizungumzia mapenzi alright....unazungumzis shetani wa mahaba" hatari sana hiyo ngoma. The guy is so talented!
..asiyependa kumuona Alikiba akiwa na ww milele mpaka kufa..
Lakini sikuoni mi nakutafuta mji mzima
Nakutafuta hewanii nikipiga simu yako unazima...
 
..wananicheka everyday nalia
Hawajui ninacholilia..
Wanasema una hirizi laaulal
Wanicheke niendelee wacha niliee...

Alikiba mi naliaaa
Sikuoni mwenzio
Sanaa nimevumilia...
 
..asiyependa kumuona Alikiba akiwa na ww milele mpaka kufa..
Lakini sikuoni mi nakutafuta mji mzima
Nakutafuta hewanii nikipiga simu yako unazima...

Album hii ya kwanza ya Kiba ni moto wa kuotea mbali. Mpaka sasa mi huwa nainjoy zaidi hizi ngoma za kitambo kidogo. Bongo flava halisi ndiyo hii. Weka macmuga, karim etc noma sana!
 
Dusherere
Lupela

Mimi sio fan WA uyu jamaa,ILA kwa ngoma hizi,jamaa anajua!!!
 
Kuna mahali anaimba...

we ni kila kituu...la muja de mi vidaa...

Anasemaga hizo ndo silaha zake!!
Hapo kwenye "la muja de mi vidaa" nasikia kama harufu ya profesa patrice lumumba akitema cheche zake za kigoda ndani ya nkrumah hall
 
Nilimshauri kina agombee categories ya amonise ili ashinde akagoma akasena anataka ile categories ya mondi kangukia na kitu chenye ncha Kali kichwani kakosa hata tuzo
Hawajamshusha stejini?au hajapanda kabisa.
 
Leo asubuh nilikuwa naisikiliza hiyo ngoma..kuna dogo nikamwambia hii ngoma haichuji miaka na miaka naisikiliza
Ndio maana mwenzenu anakosa tuzo.Nyie mnashabikia ngoma za kale wakati tuzo ni za sasa!Hamna msaada kwake ninyi.
 
Back
Top Bottom