Mimi siwezi kabisa, je mwenzangu kwako ipoje?

Mimi siwezi kabisa, je mwenzangu kwako ipoje?

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,645
Reaction score
4,330
yani ile umefulia siku huna kitu mfukoni alafu Una changanya akili una amua kwenda kwa mango akukope unga.
unafika dukani unajizungusha
Mara mangi hii shingp, Mara mbona bei juu mwisho wa SAA unamkopa.
kiukweli nimeshindwa kabisa kukopa hasa maduka ya mtaani.
sijui wew mdau ikikufika unafanyaje?????

una anzaje kumkopa???
 
Hahahaa unanitega nidanganye hadharani?
Ndio, zaidi ya mara moja, na sikopi kwa kila mtu. Namshukuru Mungu nna kipaji cha kulipa.

Nimejifunza kutokubeba dhiki kwenye mfuko wa rambo isionekane na kila mtu...

huh.
hapo sawa.
na inanoga Kama unakopa mahali ambapo hakuna watu wengi.
maana ukishakopa kwenye watu
utarushwa kwenye matangazo ya mta
mzima
 
Unakopa tu mkuu ukifika
Unaanza
Mangi siku hizi unapendeza sijui unakula nini !
Yaani na biashara inazidi kukua (hapo unatabasamu)
Kisha unamalizia
Ila mwenzio mangi maji yamezidi unga nifanyie basi na mie nipate kula leo
Kesho ninaenda kusaini cheki nitarekebisha....
Hapo full smile
 
Umenichekesha, maelezo kibao ukimsifia
 
Unakopa tu mkuu ukifika
Unaanza
Mangi siku hizi unapendeza sijui unakula nini !
Yaani na biashara inazidi kukua (hapo unatabasamu)
Kisha unamalizia
Ila mwenzio mangi maji yamezidi unga nifanyie basi na mie nipate kula leo
Kesho ninaenda kusaini cheki nitarekebisha....
Hapo full smile

hahahahahhahahahah.
mbavu zangu.
itakuaje Kama akigoma kukukopesha??
 
Unatafuta maneno ya dini
Kama mkristo unamuunganisha aya zinazokataa uchoyo

Kama mwislamu unamtafutia sura zinazotangaza upendo na kusaidiana
Mpaka aelewe!

Ila usiwe unachelewesha kulipa

hahaahajaa.
hapo nimekuelewa mkuuu
 
Nakuwa very straightforward: nikitaka kukopa huwa nakuwa na cash kiasi (nusu au above) so nalipia na kubaki na deni. I.e, vyakula nanunua in bulk

hapo saw a.
na huo ndio utanzania
 
Back
Top Bottom