Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuwa very straightforward: nikitaka kukopa huwa nakuwa na cash kiasi (nusu au above) so nalipia na kubaki na deni. I.e, vyakula nanunua in bulk
Hahaaa. Niambie Mshenga nimekuja.
Mimi sipendi kukopa mkuu
Ikitokea nimefikwa sikopi kwa Mangi ila nitatafuta mtu wa karibu anikope Pesa halafu nakwenda kwa Mangi kununua.mwali
nipe mawazo yako katika hili.
we ukifikwa na hali hiyo hua unafanyaje
Ikitokea nimefikwa sikopi kwa Mangi ila nitatafuta mtu wa karibu anikope Pesa halafu nakwenda kwa Mangi kununua.
Hapana Mshenga mie nina watu maalum ambao ndio najiona nafsi yangu inawaamini.daaah.
hapo umenena
but inategemea unaenda kukopakwa nani.
maana wengine ni sheeeadah.
unakuta ni MTU wa karibu kwako but ukitoka tu anakuaanz kuku......
Hahahhaa hii nimeipendaUnakopa tu mkuu ukifika
Unaanza
Mangi siku hizi unapendeza sijui unakula nini !
Yaani na biashara inazidi kukua (hapo unatabasamu)
Kisha unamalizia
Ila mwenzio mangi maji yamezidi unga nifanyie basi na mie nipate kula leo
Kesho ninaenda kusaini cheki nitarekebisha....
Hapo full smile
Hapana Mshenga mie nina watu maalum ambao ndio najiona nafsi yangu inawaamini.
Na ni mara chache sana kutokea wakawa hawana.